Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba,ameipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia ushindi wake wa Kishindo ktk uchaguzi wa kata 4 jijini Arusha.
Pamoja na pongezi hizo Mwigulu ametoa angalizo kwa CHADEMA kua wasibweteke kwani kata hizo nne zilikua chini yao na kwamba walikua wakizitetea!
Source; Gazeti la Tanzania Daima.
Pamoja na pongezi hizo Mwigulu ametoa angalizo kwa CHADEMA kua wasibweteke kwani kata hizo nne zilikua chini yao na kwamba walikua wakizitetea!
Source; Gazeti la Tanzania Daima.