Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Koffie

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
440
Reaction score
101
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • Igunga.jpg
    Igunga.jpg
    58.4 KB · Views: 3,023
anatapatapa huyo,..alikuwa campaign manager na jimbo limemponyoka,kama wana uhakika na rufaa waliyokata kampeni za nini?wasubiri aibu kwenye uchaguzi,..this time hakuna kugawa mahindi wala ahadi za majuha kama magufuli za madaraja...
 
Kama kawaida ya magamba, wali nyama, muziki kwa kwenda mbele. Kula CCM, kura CHADEMA. M4C!
 
igunga1.jpg ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
 
jipe moyo tu
wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,
 
nami nimeambiwa kuwa safari hii ana wake wa makada 6 si mmoja kama mwaka jana. Na wa kwako yupo?

Yakhe umenikumbusha mbali. Hivi ndio huyu aliewavika khanga na kuwabandua eeh?

Ila kwa maslahi ya chama, watakaa kimya. 'Kwani ina mita ile', yatakuwa ndio maneno yao ya kujifariji. Dhiki mbaya wee!
 
Koffie!

Wee subiri M4C itakapotembelea hiyi mitaa uone tutakavyo mchana na kumchakaza huyo kibaraka wako!
 
mtu anaemsikiliza mwigulu Nchemba na kumwelewa basi akili yake si nzuri lazima nae ukifuatilia aliishawahi pitia mirembe ama hosp ya vichaa
 
Waambie wana Igunga wakipewa hela na hao mafisadi wasisite kuzichukua. Kisha wawasubiri kwenye sanduku la kura wawaoneshe kuwa wajinga ndio waliwao.
 
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje


Na hayo mengine je? Wenyewe wanakusikia kwani 2015 si mbali!!!!!!!!!!! Nadhani hatua hiyo ni sawa na kupiga jalamba tu
 
Ukiona mtu yuko sisimu nyakati hzi ujue ni mweu au ni mzee sana ambao akili yao ni ile ya vichanga kula elf 3 tofauti xaxa
 
hao ni wakununuliwa sisi M4C hatuna presha kuku wako mwenyewe wa nn kumshikia manati
 
Back
Top Bottom