Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

Nafikiri atakuwa amechanganyikiwa kutokana na dhambi ya USALITI aliyoifanya. Maana ata Yuda alipo msaliti Yesu alichanganyikiwa na kuamua kujinyonga.

Leo hii unamuona Yuda ni mbaya wakati ndiye aliyesababisha wewe ukombolewe na dhambi zako?

Wewe unafikiri asingetokea yeye akamsaliti Yesu, dhambi zako angezibeba nani?

Kweli shukrani ya punda ni mateke!
 
ndani ya CDM ukiwa wewe ni mkaskazin haswa mwenye asili ya mlima Kilimanjaro hata uropoke vp uchukuliwi hatua; ndo maana unaona lema alimtuhumu ZZK mitandaon lkn hakuambiwa kakiuka kanuni za chama kuongelea mambo ya chama nje ya vikao halali vya chama! IDUMU KILIMANJARO SACCOS IDUMU CDM!
 
...hata bibi yangu Juliana Shonza alianza hivihivi na akala cha mbavu ,yuko wapi leo...?


DUH KALE KADADA, KALIVOKUWA KAKIJITUMA NA MWIGULU KT PROPAGANDA ZAO, SI BURE WAMEKAGEUZA NDOMU, YAWEZEKANA KAMEAIDIWA UKUU WA WILAYA NA JK SIKU ZA MBELENI, Period
 
Last edited by a moderator:
Kama unaipenda kweli CHADEMA usipoteze lengo la tuhuma walizonazo akina ZZK ni wasalati na vithibitisho vipo, acheni kupotosha watu, asiyetaka kuondoka tutamtoa kwa greda
Zitto mwenyewe anaelekea kuwa mbunge wa mahakama,NGOJA TUMFURUSHE.
 
Wakuu huyu jamaa atakuwa amechanganyikiwa mfano mimi nikisema sitatoka CDM lakini sina access ya kwenye vikao vya chama hiyo si automatic kuwa sipo chamani? jamaa anatakiwa awaishwe mirembe alikuwa hajajiandaa kwa hii repercussion
 
ndani ya CDM ukiwa wewe ni mkaskazin haswa mwenye asili ya mlima Kilimanjaro hata uropoke vp uchukuliwi hatua; ndo maana unaona lema alimtuhumu ZZK mitandaon lkn hakuambiwa kakiuka kanuni za chama kuongelea mambo ya chama nje ya vikao halali vya chama! IDUMU KILIMANJARO SACCOS IDUMU CDM!

kwa taharifa yako madiwani walotimuliwa arusha walikua na asili ya uko, na apo wanafiki nyie hamkusema, tatizo uwezo wenu wa kufikili ni mdogo enyi maCCM
 
Wakuu huyu jamaa atakuwa amechanganyikiwa mfano mimi nikisema sitatoka CDM lakini sina access ya kwenye vikao vya chama hiyo si automatic kuwa sipo chamani? jamaa anatakiwa awaishwe mirembe alikuwa hajajiandaa kwa hii repercussion

Kwani Kila mwanachama anashiriki vikao vya kitaifa? anaweza shiriki vikao vya kamati tandaji ya Kata.
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadena mkoa wa Arusha Ndg. Samson Mwigamba asema hatoki chadema,na wala hataomba radhi.

Source; Mwananchi

1426470_10201798787384151_739739593_n.jpg
 
Nisichoelewa mimi wanaongea na Media wenyewe hata barua hawapeani. Wanafurahisha genge tu.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
:Hakuna aliye juu ya sheria.!Na sheria ni msumeno inakata mbele na nyuma!.Lakini kwa CDM inaonekana kuna watu wapo juu ya sheria ? Hainiingii akilini baadhi ya viongozi wa CDM kuumshambulia ZITTO kwenye mitandao ya kijamii na kuachwa bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu na wakati huo huo viongozi wa CDM wanasema matatizo yote ya chama yanapaswa kumalizwa ndani vikao halali vya chama. JE waliomshambulia ZITTO kabla hajasimamishwa uongozi ktk mitandao ya kijamii wapo juu ya sheria?. Au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
 
Mwigamba ndo kachemsha kabisaa, bora ata ZZT aliposema atatoka wa mwisho. Sasa huyu Msaliti Mwigamba anasema hatoki alafu anaishi Arusha, Mbona majangaa....

Mi nashauri uongozi wa Chadema hii noma ya Mwigamba watuachie watu wa A-Town pamoja na Mbunge wetu tuimalize hii noma wenyewee.

Tena sisi tunampa dakika 10 tu na sio siku 14 na mchezo unaishia hapo.

Chezea Arusha wewe au amesahau wale madiwani 4 waliokuwa vibaraka wa ccm?
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadena mkoa wa Arusha Ndg. Samson Mwigamba asema hatoki chadema,na wala hataomba radhi.

Source; Mwananchi

tuna matatizo sana watanzania ya uelewa, hakuna aliyemwambia atoke wala aombe radhi

I think jamaa atakua na matatizo makubwa sana
 
Mwanachama kumtoa kwa nguvu si rahisi vile ana haki zake.Akiiona haki zake zimesiginwa mahakama zipo aweza enda na akarudishwa ikionekana kaonewa.Chama hakina kauli ya mwisho.

Wewe wadanganye tuu.
Hata wale madiwani 4 waliofukuzwa Chadema
walidanganywa na Pinda kuwa waende mahakamani
na walipoenda mahakamani mbona Pinda aliwageuka
na ukitaka kujua kilichofuata watafute watakueleza
.
 
Yuko kwenye "stage ya denial",every one of them goes through that stage.
 
Huyu si ndo waraka ulimtaja atakuwa na hali mbaya akitumuliwa....lazima anga'gang'nie hata mkodi greda....by the way MM and M1 wemeshamtafutia zile 2m walizomuhadi?
 
Back
Top Bottom