Mwiba wamuozesha mguu, watoka funza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwiba wamuozesha mguu, watoka funza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gumzo, Jul 24, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana Martin Deusi, 27, (pichani) kutoka Mkoa wa Sumbawanga anasumbuliwa na kidonda cha mguuni kwa miaka nane sasa. Anasimulia yaliyompata mpaka kuambiwa na madaktari kuwa apelekwe India kwa matibabu:
  “ Chanzo cha mguu huu kupata kidonda ni kuchomwa na mwiba tangu mwaka 2004 wakati nakwenda kanisani. Baada ya kuchomwa nilitokwa na damu kidogo , nikadhani ni jambo la kawaida, lakini kesho yake asubuhi nikakuta mguu umevimba kupita kiasi.
  “Baada ya siku chache mguu ukaanza kuoza na kutoa funza kwa kuwa sikuwa na fedha za kwenda kutibiwa hospitali licha ya kuhangaika sana kuzitafuta. Hii ni kutokana na umasikini wangu.” (Analia)

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA
  GUMZO LA JIJI
   
Loading...