Wanawake wengi waliokuwa hawajapata mimba kwa mda mrefu watapata mwezi huu...
Aisee..!!the same to me nimepigwa kibuti hivyi hivyi nikiwa siamini kilichotokea nampigia simu hapokei namtext hanijibu.....!!!mwezi huu kwangu sio kabsa...!!hapana! juzi tu nimetoka kuachana na mademu zangu wawili nimebak singo.Too bad for me