Mwezi wa tisa: Mwezi wa mapenzi

Mwezi wa tisa: Mwezi wa mapenzi

Katika mwezi huu tegemea moja au baadhi ya yafuatayo kwako.
1. Demu uliyekuwa unamtongoza kwa muda mrefu akikukatalia huu mwezi atakukubalia
2. Mwanaume uliyekuwa unamtaka mda mrefu atajileta mwenyewe
3. "Zali" zitaibuka... ambapo from no where utajikuta umeshiriki penzi na mtu ambaye hukumtarajia before
4. Wachumba sugu wengi watatangaza ndoa
5. Ukibeep tu kwa msichana au kwa mwanaume... jibu litakuwa yes.
6. Kama hukuwa na mpenzi kabisa utampata mwezi huu
7. Wake za watu na waume za watu watachepuka unexpectedly.
8. Mpenzi mlikuwa mmekosana mtarudiana
9. Mahusiano yako ya kimapenzi yatakuwa very lovely, na hamtagombana

Usiniulize kwa nini.

But wapo wengi wameshaanza kuobserve haya na watakuja hapa kushuhudia

Mmmh,!!! hiyo ni imani yako tu mkuu ndo maana umesema tusikuulize kwa ni ni.But for me I DON' BELIEVE THAT......
 
Ujue mshahara ulipatikana mapema na pia wakulima wamelipwa hela za mauzo,ni msimu wa watalii wengi,ada zimelipwa shuleni.lazima mapenzi yarudi tu
 
Mhhhhh! Mkuu Tuko utabiri umeuanza lini Mkuu!? Haya bhanaaa kila heri.

Last edited by a moderator:
Katika mwezi huu tegemea moja au baadhi ya yafuatayo kwako.
1. Demu uliyekuwa unamtongoza kwa muda mrefu akikukatalia huu mwezi atakukubalia
2. Mwanaume uliyekuwa unamtaka mda mrefu atajileta mwenyewe
3. "Zali" zitaibuka... ambapo from no where utajikuta umeshiriki penzi na mtu ambaye hukumtarajia before
4. Wachumba sugu wengi watatangaza ndoa
5. Ukibeep tu kwa msichana au kwa mwanaume... jibu litakuwa yes.
6. Kama hukuwa na mpenzi kabisa utampata mwezi huu
7. Wake za watu na waume za watu watachepuka unexpectedly.
8. Mpenzi mlikuwa mmekosana mtarudiana
9. Mahusiano yako ya kimapenzi yatakuwa very lovely, na hamtagombana

Usiniulize kwa nini.

But wapo wengi wameshaanza kuobserve haya na watakuja hapa kushuhudia

Daaah iyo no8 ndo sasa ivi nimetoka kubembelezwa kwenye simu duuu wewe ni noumerr..
 
Realy??? Mi mbona kwangu huu mwezi kimapenzi umeanza ovyo sana?
 
hapo nitakuwa na matatu,kwanza ni kurudia na nilieachana nae(7) pili, nitapata mpenzi kwa sinae (6),nitapata zali(3) .
 
Katika mwezi huu tegemea moja au baadhi ya yafuatayo kwako.
1. Demu uliyekuwa unamtongoza kwa muda mrefu akikukatalia huu mwezi atakukubalia
2. Mwanaume uliyekuwa unamtaka mda mrefu atajileta mwenyewe
3. "Zali" zitaibuka... ambapo from no where utajikuta umeshiriki penzi na mtu ambaye hukumtarajia before
4. Wachumba sugu wengi watatangaza ndoa
5. Ukibeep tu kwa msichana au kwa mwanaume... jibu litakuwa yes.
6. Kama hukuwa na mpenzi kabisa utampata mwezi huu
7. Wake za watu na waume za watu watachepuka unexpectedly.
8. Mpenzi mlikuwa mmekosana mtarudiana
9. Mahusiano yako ya kimapenzi yatakuwa very lovely, na hamtagombana

Usiniulize kwa nini.

But wapo wengi wameshaanza kuobserve haya na watakuja hapa kushuhudia
september noma jaman ni kweeeeeli mi naamini
 
Poa mkuu ngoja nikajaribu bahati yangu kwa charty kabla mwezi hujaisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom