Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
- Thread starter
- #21
Mkuu huko mama kaupiga mwingii sio, hongereni 🎉🎉🎉Afya tayari
Mkuu huko mama kaupiga mwingii sio, hongereni 🎉🎉🎉Afya tayari
😃😃😃😃Subira kanikimbia nyumbani nae anasema mangi kazidi kupiga piga hodi ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Hata mimi nilitaka kuandika hivi hivi, hawa watu wanatia sana aibu walimu wana njaa sana ili uamini hilo subiri mshahara uingie tembelea ATMWalimu bwana
Mnawaonea mkuu, mvutie ngoma...!! Mambo yakiwa sawa updates muhimuHata mimi nilitaka kuandika hivi hivi, hawa watu wanatia sana aibu walimu wana njaa sana ili uamini hilo subiri mshahara uingie tembelea ATM
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Hakuna maisha magumu kwa wafanyakazi kama yale ya kuishi mwezi/miaka nenda kwa kutegemea mshahara pekee.
🎉🎉🎉 HongereniTyr crdb
Msifanye masihara jamani, mangi kanikalia kooni vibaya na miguu yote ganzi tz 11 🙉🙉🙉NBC TAYARI
🤣🤣🤣 Daah we jamaaBayport nao tayari! 😇
Kwani tayari ?Dawa ya deni kulipa
Msifanye masihara jamani, mangi kanikalia kooni vibaya na miguu yote ganzi tz 11![]()







Bora umesema, hawa walimu sijui tuwape elimu ipi waweze kujitambua, maisha yakudokolea mwisho wa mwezi niyakitumwa sanaHakuna maisha magumu kwa wafanyakazi kama yale ya kuishi mwezi/miaka nenda kwa kutegemea mshahara pekee.
Usicheke mkuu