The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,707 Sep 7, 2021 #81 Abdallah_Kichwaz said: Pole Click to expand... Pole nawe pia
wakatanta JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 2,593 Reaction score 3,161 Sep 7, 2021 #82 Kasomi said: Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia Click to expand... Vipi ?,inakusababishia kukosa pesa na chakula?,sema tumteue
Kasomi said: Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia Click to expand... Vipi ?,inakusababishia kukosa pesa na chakula?,sema tumteue
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,903 Reaction score 3,139 Sep 7, 2021 #83 Kwani nchi inaendeshwa na waziri wa ulinzi?
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,601 Reaction score 21,158 Sep 7, 2021 #84 Mama utalii yuko busy kutengeneza filamu!
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,601 Reaction score 21,158 Sep 7, 2021 #85 wakatanta said: Vipi ?,inakusababishia kukosa pesa na chakula?,sema tumteue Click to expand... Pumbavu!
wakatanta said: Vipi ?,inakusababishia kukosa pesa na chakula?,sema tumteue Click to expand... Pumbavu!
mzeempili JF-Expert Member Joined Aug 16, 2021 Posts 327 Reaction score 531 Sep 7, 2021 #86 kipara kipya said: Yupo naibu na katibu mkuu mwendo mpera mpera! Click to expand... Wanaotaka waziri wa ulinzi wapuuzwe. Wizara ya ulinzi itapewa mwanajeshi, jenerali au meja jenerali.
kipara kipya said: Yupo naibu na katibu mkuu mwendo mpera mpera! Click to expand... Wanaotaka waziri wa ulinzi wapuuzwe. Wizara ya ulinzi itapewa mwanajeshi, jenerali au meja jenerali.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,366 Reaction score 15,432 Sep 7, 2021 #87 Kasomi said: Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia Click to expand... Umepungukiwa nini? Mbona Chadema wana miezi hawana Mwenyekiti wa Chama wala Makamu Mwenyekiti na hujalalamika?
Kasomi said: Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia Click to expand... Umepungukiwa nini? Mbona Chadema wana miezi hawana Mwenyekiti wa Chama wala Makamu Mwenyekiti na hujalalamika?
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Sep 30, 2021 Thread starter #88 sweettablet said: Umepungukiwa nini? Mbona Chadema wana miezi hawana Mwenyekiti wa Chama wala Makamu Mwenyekiti na hujalalamika? Click to expand... Hahahah Basi sina la kusema maana kipindi nipo lupango ndipo waziri alipatikana. Kwahiyo acha kazi iendelee
sweettablet said: Umepungukiwa nini? Mbona Chadema wana miezi hawana Mwenyekiti wa Chama wala Makamu Mwenyekiti na hujalalamika? Click to expand... Hahahah Basi sina la kusema maana kipindi nipo lupango ndipo waziri alipatikana. Kwahiyo acha kazi iendelee