Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Ndio ujue vyeo vingine havina umuhimu... CDF anatosha
 
nahisi hatuhitaji waziri wa ulinzi maana ikifika polisi wanakwenda kwenye nyumba na kuiba karafuu huku wakiwa na silaha ya SMG (sabu mashini gani) wanaondoka na magunia .
sasa waziri wa ulinzi wa kitu gani ? Labda kuilinda CCM na kuhakikisha inashinda.
 
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.

Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Naibu Waziri yupo anaendelea kukaimu.
Unakumbuka Mwendazake aliwahi kuendesha nchi bila Baraza la Mawaziri zaidi ya mwezi? Hiyo ndiyo CCM bhana. Chama cha Wabbabe!!
 
nahisi hatuhitaji waziri wa ulinzi maana ikifika polisi wanakwenda kwenye nyumba na kuiba karafuu huku wakiwa na silaha ya SMG (sabu mashini gani) wanaondoka na magunia .
sasa waziri wa ulinzi wa kitu gani ? Labda kuilinda CCM na kuhakikisha inashinda.
Polisi wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani. Waziri wao ni Simbachawene.
 
Huko walikopindua nasikia chanzo ni tozo kukithiri, jeshi la wananchi limewaonea huruma wananchi, ninachowaza hakiwezekani ila nimejikuta nawaza tu kwamba "huruma" itawale majeshi yote barani Afrika na iyatume kuwaonea "waafrika" huruma kwa mizigo mizigo wanayobebeshwa na watawala wao, so i pray.
 
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.

Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Wamempangia royal tour mambo ya kuongoza serekali waachiwe wao
 
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.

Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Kuna wizara mbili ziko vacant, ulinzi na sheria, pia post ya VP huenda nayo inasubiri uteuzi
 
Back
Top Bottom