Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,138
Natumia jukwaa hili kama jukwaa linalo fikiwa na wengi kuwakumbusha wale wanao amini katika hili.
Kwamba ni mwezi wa Maria tuapaswa, au tunatakikana kusali haswa rosari kwa madhumuni ya kuomba maombi mbali mbali juu ya maisha yetu kijamii na kiimani kwa ujumla.
Wakati tulio nao huu umejawa na changamoto ambazo aidha zilianzia baada ya kuporomoka kwa maadili ya kiroho kulikopelekea ukubwa wa changamoto zinazo tukabili.
Umekuwepo ukosefu mkubwa wa maadili katika jamii, mambo yake ya aibu kabisa kuyataja ndio yanatajikana kwetu, kama mapenzi ya jinsia moja, ufanyaji wa ngono kinyume na maumbile, wakina dada wamekua na sifa za kikahaba karibu wote, vijana wanapenda sana burudani kuliko kazi, kamari na michezo ya kubahatisha kila kona, viongozi wa kijamii kama wa dini serika nao wamekua wapotofo, serikali haijali maumivu ya wananchi wake, dini hazina ule upendo tena, zimekua ni taasisi za dili badala ya dini, vijana , watu wazima wameacha kutegemea akili na maarifa walio jaliwa wanawategemea wanadamu tunaweza kusema uchawa, na mengine mengi mabaya yaliyopo kwenye jamii zetu.
Tutumie kipindi hiki kuomba radhi na toba, kuomba haya na mengine ya kibinafsi yaweze kuondoka kwetu.
Kwa yoyote mwenye kuamini.