Mwezi Oktoba mwezi wa Maria

Mwezi Oktoba mwezi wa Maria

Mwezi wa tano (May) ndio mwezi wa Maria, mwezi wa kumi (October) ni mwezi wa Rozari takatifu.
 
Mwezi mwingine wa rozari umeanza tukijaliwa tusisahau kusali, iwe nyumbani, njiani, kwenye jumuiya kanisani na popote utakapo jaliwa.
 
Back
Top Bottom