Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,522 Reaction score 14,005 Jun 20, 2015 #1 Pole kwa saumu kwa wale mliofunga! Nina ombi moja tu katika MWEZI huu wa RAMADHANI,akina dada,akina mama badilisheni mavazi yenu na mvae mavazi ya stara,maana waliofunga wengi wanakosa hata UHURU wa kutembea kwa kuogopa wasije haribu SAUMU zao. Ni ombi tu jamani,tusaidiane wote.
Pole kwa saumu kwa wale mliofunga! Nina ombi moja tu katika MWEZI huu wa RAMADHANI,akina dada,akina mama badilisheni mavazi yenu na mvae mavazi ya stara,maana waliofunga wengi wanakosa hata UHURU wa kutembea kwa kuogopa wasije haribu SAUMU zao. Ni ombi tu jamani,tusaidiane wote.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,850 Jun 20, 2015 #2 Ha haaa,basi sawa wamekusikia
bitebo7 JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 858 Reaction score 601 Jun 20, 2015 #3 Na humu mpunguze maneno makali
Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 Jun 20, 2015 #4 Mhh jaman
The Ideologist JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 504 Reaction score 299 Jun 20, 2015 #5 Kumbe huu ni mwezi mtukufu sio wa sita!
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,563 Reaction score 1,393 Jun 20, 2015 #6 Hahahaha