Anza kidogo, lakini anza kwa akili.
Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku.
Usifuge kwa kubahatisha tena -
Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe, gharama, na kumbusho za chanjo ili kufuga kwa faida.
β Mwezi huu, fanya uamuzi wa kukuza mradi wako kwa maarifa na ufuatiliaji.
Pakua Fuga App leo na tujenge pamoja kizazi kipya cha wafugaji bora!