Mwezi mmoja unaulizia ndoa.

Mwezi mmoja unaulizia ndoa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,851
Hata sijui wanawake wa siku hizi wamekuaje maana wanapenda mno ndoa yaani mtu mnaazisha uhusiano hata mwezi hujaisha ulishaanza kuulizia ndoa na wakati mwingine wanaume hutumia kete hiyo kuwapata, sio kila mahusiano huzaa ndoa.
 
umeona eeh!kumbe na wewwe yamekukuta.mie niliumizwa hivyohivyo.ukiona hivyo ana mimba au anataka kumkomoa mtu.wadada waridhisheni wenza wenu kwanza.kama mnataka ndoa mtuoe bassi kama mna haraka.ndoa sio starehe.
 
mbona ww mwezi mmoja tu unataka papuchi? ukiona mwanamke anaulizia ndoa ujue anakupenda. hataki kukuchezea na kukupotezea muda. lol

Hamna kukupenda wala nin… ni upasua kichwa tu na kumbebesha mtu mizigo isiyomuhusu. We umecheleweshwa huko ulikotoka unataka uanze kunipeleka mi mbio kwani tulianza wote safari? Ukitaka tufike pamoja ni lazima ufuatane na mwendo wangu! Hutaki unasepa
 
wanaume bana, jambo la heri kama hilo mnalipiga vita kiasi hicho!!!
 
Na wewe usimuombe gegedo mkuu kama hutaki akuombea ndoa.Ladies have a lot to loose so it's ok for them to be insecure and defensive
 
Mwaka huu nimekutana na kama wa4 hivi.

Nimeishia kuwapeleka kwa desperate men ambao wameshaanza kuzeeka na kukosa mwelekeo.
 
Yan mwez tu anataka ndoa kwel mpya! mtu hujajua hata kwao wap,anaish je huko then bebi utaniowa lin-nyambafuuuu!
 
Sio wanapenda ndoa hawataki kuchezewa babu we we!! Huwezi kuwa na uhusiano na MTU bila male go bwana we vipi? Mbona nyie mkinyimwa huwa mnamind na mnasitisha mahusiano???
 
mbona ww mwezi mmoja tu unataka papuchi? ukiona mwanamke anaulizia ndoa ujue anakupenda. hataki kukuchezea na kukupotezea muda. lol

safi kabisa...wee ukitaka papuchi ndani ya mwezi basi mwanamke nae anataka ndoa.
 
Hamna kukupenda wala nin… ni upasua kichwa tu na kumbebesha mtu mizigo isiyomuhusu. We umecheleweshwa huko ulikotoka unataka uanze kunipeleka mi mbio kwani tulianza wote safari? Ukitaka tufike pamoja ni lazima ufuatane na mwendo wangu! Hutaki unasepa

mwendo wa kumega kisela sio?dah haya bana mii napita tu
 
Hamna kukupenda wala nin… ni upasua kichwa tu na kumbebesha mtu mizigo isiyomuhusu. We umecheleweshwa huko ulikotoka unataka uanze kunipeleka mi mbio kwani tulianza wote safari? Ukitaka tufike pamoja ni lazima ufuatane na mwendo wangu! Hutaki unasepa

hhhmmmmm
kama ugomvi vile
 
Back
Top Bottom