wanaume bana, jambo la heri kama hilo mnalipiga vita kiasi hicho!!!
Kuoa ni zaidi ya kuvaa shera na gauni jeupe.
Hata sijui wanawake wa siku hizi wamekuaje maana wanapenda mno ndoa yaani mtu mnaazisha uhusiano hata mwezi hujaisha ulishaanza kuulizia ndoa na wakati mwingine wanaume hutumia kete hiyo kuwapata, sio kila mahusiano huzaa ndoa.
huu ukweli jamanmbona ww mwezi mmoja tu unataka papuchi? ukiona mwanamke anaulizia ndoa ujue anakupenda. hataki kukuchezea na kukupotezea muda. lol
safi kabisa...wee ukitaka papuchi ndani ya mwezi basi mwanamke nae anataka ndoa.
mbona ww mwezi mmoja tu unataka papuchi? ukiona mwanamke anaulizia ndoa ujue anakupenda. hataki kukuchezea na kukupotezea muda. lol
mwendo wa kumega kisela sio?dah haya bana mii napita tu
Kwani nikikutongoza ukanipa papuchi lazima nikuoe kuna mahisiano mengine huwa hayana makubaliano ya ndoa na hapo ndo mabinti huwa mnachemka.
ndio maana watu wenye heshima zetu kungonoka huwa tunaita tendo la ndoa. sasa fanya magazijuto uone kwanini sex = tendo la ndoa.
wanaume bana, jambo la heri kama hilo mnalipiga vita kiasi hicho!!!
Aseee unamwaga povu…..Ndoa sio kama kwenda haja, ukijisikia tuu unaingia chooni. Wadada wengi wanachowaza ni kuwaonesha watu kwamba na wao wameolewa kumbe sicho kinachohitajika. Akiona aliosoma nao wanaolewa na yeye anaanza kukusumbua hata kama uhusiano wenu una mwezi mmoja tuu!
halafu siku hizi umeokoka au? sikuelewi elewi.
Mbona nyie siku moja tu mnatangaza ndoa?
Kwa hiyo sisi kuulizia tarehe imekuwa shida?
Acheni hizo.
Bila kusahau kupiga picha&video camera...maana unakuta mdada kaona dada'ake kaolewa unamsikia et natamani na mimi siku yangu ifike,ukimuuliza alichokitamani anakwambia "kupiga picha za historia ya harusi yangu".Ndoa ni fumbo zito sio kama kuitana "baby" "baby",sio Bongo movie ni kitu sereosly wanatakiwa kuelewa.
Aseee unamwaga povu ..
Mimi siwezi kuanza kumwaga povu kwenye jambo ambalo nalifahamu. Muwache kutupa taarifa za rafiki zenu kuolewa ili na nyie muolewe wakati hujathibitisha uanamke wako. We mwanamke kila siku unataka tukale hotelini unadhani utanivutia nikuoe?