Mwezi feb na siku 28 au 29

Mwezi feb na siku 28 au 29

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
181
Reaction score
66
Hamjambo wana kubwa kufikili
jamani naomba kuuliza hivi ni nani anaepanga siku za mwezi wa fe kuwa 28 au 29? Maana zamani ilikuwa mwaka huu 29 unaofuata 28 lakini sasa hivi tofauti mwaka 2010 na 2011 zote zimefuatana 28 hivyio basi nanai mpangaji? Wa tarehe?
 
29 February hutokea kila baada ya miaka mi4, kwa hiyo baada ya 2008 sasa ni 2012. kwa ufupi ni kwa kila mwaka unaogawanyika kwa 4. Thus 4, 8, 12,....................2000,2004,2008,2012,2016.......................
 
29 february hutokea kila baada ya miaka mi4, kwa hiyo baada ya 2008 sasa ni 2012. Kwa ufupi ni kwa kila mwaka unaogawanyika kwa 4. Thus 4, 8, 12,....................2000,2004,2008,2012,2016.......................
kumbe some tymes zinashika eeh!
 
Back
Top Bottom