JFMatumbulu
Member
- Jul 18, 2012
- 57
- 11
kuna tatizo hapa ni Mwesiga BAREGUKwenye Red hapo rekebisha anaitwa Mwesiga Balegu.Unataka kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu?
kuna tatizo hapa ni Mwesiga BAREGUKwenye Red hapo rekebisha anaitwa Mwesiga Balegu.Unataka kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu?
Nawe rekebisha kidogo,anaitwa profesa Mwesiga Baregu,mpe haki yake mkuu!
Professional know WHO and not know HOW ndiyo mpango mzima Tanzania.Ama kweli Tanzania yetu ni ya maajabu,unaweza ukajitahidi kusomaweeee lakini ukanyimwa kazi huku wataalam wa fani uliyosomea wanahitajika na wananchi wakiachwa wakiathirika kwa kukosa huduma yako.KWELI TANZANIA NI ZAIDI YA UIJUAVYO.
Kama unakataa kumpa ajira Dr Mweregu na kumpa Mulugo(fraudster) Uwaziri ,what do you think?
Kwenye Red hapo rekebisha anaitwa Mwesiga Balegu.Unataka kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu?
Arafu(HALAFU) siyo Dr Balegu bali ni Profesa Balegu. Haiingii akilini. Mulugo ni mtu aliyefali(ALIYEFELI) na ndio maana anataka watoto wa kadato cha nne wafeli kama yeye.
Kwenye Red hapo rekebisha anaitwa Mwesiga Balegu.Unataka kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu?
........
Professional know WHO and not know HOW ndiyo mpango mzima Tanzania.
hivi ni nchi gani iliyoendelea inayoongozwa na profesa?