Mwesiga Baregu Vs Mulugo

Mwesiga Baregu Vs Mulugo

ama kweli msafiri balaa kila waziri n fadhira zake alitumika kwenye mtandao wake kwenda ikulu,no sweat hadi 2015 tutakapo wachana magamba
 
hapa kweli umefananisha mlima kilimanjaro na kichuguu,hahaaaha hainogi na hujamtendea haki prof baregu
 
Kwenye Red hapo rekebisha anaitwa Mwesiga Balegu.Unataka kufananisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu?

Na wewe urekebishe anaitwa Baregu sio Balegu, na kwa mtoa mada huyo ni Prof Mwesiga Baregu.
 
Arafu siyo Dr Balegu bali ni Profesa Balegu. Haiingii akilini. Mulugo ni mtu aliyefali na ndio maana anataka watoto wa kadato cha nne wafeli kama yeye.

"Halafu" sio "Arafu" samahani bro kiswahili lugha ya taifa
 
Baada ya Babu wa Loliondo anafatia huyu jamaa Mulugo kwa utapeli hahahaha Mungu ibariki Tanzania
 
actually sion kama kuna uhusiano mkubwa SANA kati ya Elimu ya darasan na uongoz.pia msisahau jambo hili ni two ways traffic.hapasw kuforge vyet hilo ndo la msing otherwise kuna maprofesa na madaktar weng ambao hawajasaidia nch hii.mifano ipo ming tu ya wasomi hao mnaowataka kama ambao ni mawazir,wabunge n.k lakin hawana mchango kwa nchi.tujiulize utendaj wa mulugo ukoje?je hafai kwa sabab ya elimu yake au kwa sabab ya uwezo wake binafs wa kimaamuz?tuna viongoz wasomi weng bado wanaingia mikataba ya chifu nangungo wa msovero.tuna viongoz ambao hawana elimu kubwa lakin wanafanya mambo makubwa sana.angalia viongoz 20 wa mifano dunian ntajie wenye PHD wangap.uongoz bora mtu huzaliwa nao,hujifunza na pia kuandaliwa na walio bora.maji hufata mkondo mara nyng lakin pia kuna kipind huchepuka.tumhukumu mulugo kwa utendaj wake na kamA amegush vyet kosa liwe hilo otherwise alipaswa ajiamin tu.lakin msimlaumu yeye.mlaumuni aliyemteua maana hakufanya uchungu wowote abt him.
 
>Tz muda si mrefu itaingia kwenye 7 wonders of the world.
Inavituko hadi raha.
 
Ati Nini??!! Ili iwe rahisi kusema Zimbambwe na Pemba!!
 
Duh, yaani kuna "Form Four" nyingi humu zilizomaliza wakati wa Mulugo, utazigundua kwa jinsi zinavyo andika! LOL!
 
hivi ni nchi gani iliyoendelea inayoongozwa na profesa?
 
Kila kitu imebinafsishwa.Napendekeza tubinafsishe na IKULU. Tutangaze tenda,atakayeshinda tumpe katiba ya nchi,sera na sheria mbali bali kwa kipindi kisichozidi miaka 20.Natania,ila inabidi tuwe serious.
 
Ni matusi makubwa Kuyaweka majina haya mawili kwenye sentensi moja. Ni matusi na inaniwia vigumu kuanza kufikiri. Sijui napaswa niwalinganishe hawa wawili au napaswa nifanyeje??

Tatizo sio Mulugo, nadhani tatizo kubwa zaidi ni la huyo aliyeona kwamba Mulugo ni KIPENZI chake na anafaa kwenye nafasi aliyowekwa!
 
Kama unakataa kumpa ajira Dr Mweregu na kumpa Mulugo(fraudster) Uwaziri ,what do you think?
Huyo mheshimiwa wa magogoni ukimpigia chapuo kwa demu tu ujue umeula,elimu kwake si kigezo cha maana saana kwake na ndio maana hata yeye tangu amalize chuo miaka ya 70 hadi leo hana alichoongeza za ya watoto na mademu.For ten years at foreign office hajui hata lugha moja ya kigeni.Huyu ni mtu alienda shule tu kwa sababu shule ipo na si vinginevyo.
 
kiongozi anayeweza kumchagua Mulugo awe waziri lazima ategemee jeshi la polisi wauaji linaloongozwa na chizi Saidi Mwema.
 
Back
Top Bottom