mie mwenyewe nashangaa yule mwanamke kafungiwa chumbani wala hatoki...sijuu huyo baba kam okota wapi mpaka akubali kufungiwa....ila huyu baba anamsupport si ndio kamleta yeye... yani kama umeyasikia maneno yangu dearest...mie nimemwambia hayo hayo maneno achana na karatasi...pigania haki zako na haki za watoto wako....
I second that!!! yani mwanaume anakusoma na kukujaribu kuanzia mnapokutana... huyu ndugu yanu mie alikuwa na kazi nzuri sana huwezi kuamni mwanaume alivyokuwa anataka kum owa alivyo kuwa anabembeleza... ..lakini alivyo muoa akamdanganya nini sijui mwanamke akaacha kazi akaanza kuzaa na kulea...sasa ndio mwisho wako huo...kumletea mwanamke ndani ya nyumba yake!!! yani mie mpaka nakosa raha nam hurumia huyu cousin...
heee hivi baadhi ya binadamu wanaishije jamani, lyfe style nyingine ni kituko haswaa, sasa unaacha uhuru wako unakuja kufungiwa ndani kama mfugo? watuwanayaweza, huyo mke na yeye ana tatizo, huo mlango ni wa chuma hauvunjiki ukamvunja mtu kiuno?.....kuna wanaume wanapata wanawake wa kuwachezea jamani.
eee !Malisak mwambie huyo mdada aache ujinga, asimame kama mwanamke kweli, atetee ndoa yake, ndoa yenyewe bado changa 9month from baba paroko alafu kidume kimeshaanza kumpambanisha na hawara yake??? kweli hii ni balaa huyo mwanaume hana aya kabisa.
midume nayo inaangalia sehemu ya kufanya ufedhuli wao,shen****** type.
ndio hap mie nasema, wanaangalia mtu na mtu wa kumfanyia upuuzi na anajua hata akufanyie nini utabanana nae kwa ajili cjui ya watoto cjui tumechuma mali wote, ni muda umefika sasa wadada tujitambue jamani, mambo ya kunyanyacka yameshapitwa na wakati kabisa.
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2: i feel like nataka kupasuka. till when hawa majanadume yasiyo na ukomo yataacha huu ufedhuli.
na hawa vijianajike ambavyo tamaa zao za ngono ni kwa waume wa ndoa za wengine watakoma lini?/
sometimes ago kuna kimada aliwekewa pilipili kunako eneo la tukio kwa kujifanya yeye ndo first lady kwenye ndoa ya mwenzake.wako wanaomwagiwa acid ila huawakomi, sijui ndo mapepo hayo............ mh kazi ipo.
rafiki angu yeye alichapa mwendo na sasa mumewe anamtafuta manake kimada kamshindwa tena. na ndo kashamtangazia nia ya kutorudi tena
kidume kadata na nyumba kauza maana demands za kimada ni juu. saivi kadataaaaa
hii kitu mama anateseka kwenye ndoa sababu ya watoto/ mali haina maana kabisa, kwani hakuna sheria?????? mali zitagawanywa, watoto wangu nitasepa nao wakiwa wakubwa watamtafuta baba yao, unapoishi kwa mateso, mwisho wa siku unapotesa kl, unachakaa, unatangulia kwenye haki, watoto wanaanza kuteseka kwa kwenda mbele, lidume linaendelea kupeta na kimada.
kubali kusahihishwa hata mie nilishangaa wakati wenzetu ndo usisemeyote kheri la muhimu kufahamu
Uumm...you may want to rephrase that....kuwa na kimada/njemba pembeni si kawaida ya Mwafrika....ni kawaida ya binadamu.