Mwenzi anahitajika

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,609
WANA JF HABARI?
Ni wakati sasa umefika wa kuwa nae mwandani.ili tuliondoe hili gurudumu la upweke.binti yeyote ambaye yuko tayari ani PM.
nitamueleza uhalisia wangu na km tutakubaliana basi inshaallah tutapanda madhabahuni.
karibuni wadada mlio wapweke

papa G:scared:
 
Michelle uko wapi dili hilooo sie tushazeeka

My dear mi si mpweke....hajataja umri,sijui kama anakubali ambao biological clock zilishatick.....above 35....etu unakubali kijana????:laugh::laugh::laugh:
 
Hayaaaaaaaaa . . . .
Wanawake wanaotaka wanaume WAPWEKEE
ila kuweni makini wanaume wengine wa sampuli hii ni MAPEKE
 
Weka wasufu wako halafu ndo tuone kama unafaa sio unaacha vitu hewani
 
Ambae yuko na utashi na hili jambo ani pm nitampa wasifu wangu wote.kumbuka age aint nothing but a number.ahsanteni
 
Ambae yuko na utashi na hili jambo ani pm nitampa wasifu wangu wote.kumbuka age aint nothing but a number.ahsanteni

"age aint nothing,but a number"eenh,haya bwana kila la kheri ila usijegeuka jaffarahi(kicheche mzee)!
 
WANA JF HABARI?
Ni wakati sasa umefika wa kuwa nae mwandani.ili tuliondoe hili gurudumu la upweke.binti yeyote ambaye yuko tayari ani PM.
nitamueleza uhalisia wangu na km tutakubaliana basi inshaallah tutapanda madhabahuni.
karibuni wadada mlio wapweke

papa G:scared:

mbona sioni wadada hapa jf wakihitaji wenza ? Au ndo mfumo dume ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom