Tunaendelea kutafakari condition zake
hapa nimepata picha kamili
1.Heche na Tundu Lissu ni very strong person
2.Msigwa kurudi Chadema Kuna namna hakupaswa kupokelewa
3 Tuhuma za Heche kuwa amekula pesa ni za uongo na zipuuzwe
In origin
Mwenzetu mmoja anatafakari Ina maana kundi kubwa la viongozi wa Chadema wamekubali
Duuuuuu