Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
hapa natafuta faraja tu Zahra White
ama wewe ungefanyaje??
MANAKE NIMEJIKUTA NAWAZA TU KWA SAUTI INGEKUWA VPI KWAMBA SASA HIVI UNGEAMBIWA NA BABA KIJACHO HAKUTAKI.
zimebaki siku 3 tu
mume wangu usinitie majaribuni, saa yangu haijawadia!!nimekuja mke wa ujana wangu, hana niambie shosti wako kumbe ana projekti na obama?
amen mama g, amennnnnnnnn!asante sana wangu, mungu atatenda.
Wanajamvi wenzangu,
siku ya leo mwenzenu naumwa sana. J1 nilikuwa bize nafanya kazi fulan ambayo ilinisababisha mwisho wa siku niwe nimevuta kiasi kikubwa cha hewa yenye particles. Nilipogundua hilo nilianza kwa nutafuta dawa ili kusafisha koo but hazikuwa na mafaniko makubwa manake jana j2 hali ilikuwa acute. kufika usiku wa jana sauti imekauka kabisa na kooni nikawa naskia kama kuna particles. Leo nimejitahd kwenda hospitakli therapy niliyopewa ni kiboko as kwanza imeniumiza lakini imeondoa particles zote lakin kutokana na majeraha yaliyopo ndani ya koo bado sauti haiwez kutoka kabisa. ndio maana hata kwenye b'day ya dada mkubwa AshaDii nimeshindwa kuimba.
mume wangu usinitie majaribuni, saa yangu haijawadia!!
halafu unapenda vijiupepo wewe??
na hili baridi bado tu unataka viupepo??
rudi kasome post#1 utaelewa namaanisha nini.Haya hebu niambie hiyo sauti inaumajeumaje? Leo ndo kwa mara ya kwanza nimesikia sauti inauwa.
Tabibu wangu Lady doctor hebu njoo huku umtibie kungwi wetu.
rudi kasome post#1 utaelewa namaanisha nini.
Nimeshaisoma lakini sijaona uhusiano wa koromeo kuuma, na sauti nayo iumwe. Hiyo sauti inaumwa sehemu gani?
waiting for yur call ujue!!
ni ngumu sana kuelewa connectio kati ya trachea na voice box hasa kwa fundi vyuma kama wewe.
naamin hapa ningekuwa naongelea tension of steel ama minimum factor of safety ungenielewa mara moja.