Mwenzenu napenda chini mimi..

Mwenzenu napenda chini mimi..

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Ni kitanda cha chini kwenye hivi vitanda vyetu vya dabo deka Chuoni..ha ha ha ha
 
Hata mi nimekuona unavyopenda chini. Labda kikojozi - juu utagundulika.
 
Sasa kwani kitanda cha chini ya kitanda cha juu ni chini? Au haujui Chini maana yake ni nini?
Chini ni juu ya ardhi au chini ya ardhi.
 
Back
Top Bottom