nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Inabidi sasa niwe kama nyumba kubwa maana magonjwa ni mengi sana siku hizi kama mwenzi sio mwaminifu, naona hii ndio solution ya tatizo langu. Sidhani kama nimeumbwa wa kulia/kucheatiwa kila siku! I deserve the best.
Kwa wale ambao neno uaminifu hawajuhi lina maana gani.
Nikamuomba yeye alale chumba kile na mimi nilale chumba kingine, akalia sana huku akiomba msamaha ya kuwa nimsamehe na hatorudia tena. Lakini roho yangu yaniambia hii si kweli kwani alishawahi kunicheat mara kadhaa huko nyuma na nilimsamehe kwa yote, lakn sina amani nae tena, wala raha nae kama zamani.
Pole sana!Kama maelezo yako ni sahihi inaonyesha wewe ni mwanamke mwenye msimamo na unaejitambua.Pia inaonyesha Abu si mwaminifu katika mahusiano yenu<na hapa namsikitikia maana naona kama anachezea fursa>.Hata hivyo nakushauri ufanye yafuatayo:
1.Msamehe tena maana binadamu si wakamilifu
2.Zungumza nae kwa kina juu ya umuhimu na matarajio ya mahusiano yenu<waweza kuwashirikisha jamaa zake wa karibu pia>
3.Baada ya hayo yote muweke chini ya uangalizi
4.Akiendeleza chenga waweza fikiria vinginevyo
Ni kweli mkuu ni kazi na JF (kuwashauri watu) ndio vinaniweka busy ili niweze sahau masahibu yalonikuta ila nikiwa lonely hii picha yajirudia mara kwa mara na kujikuta nalia peke yangu chumbani, na kukosa raha muda wote!
Pole saana kwa shock; ila ngoja nikwambia jinsi nilivyoishi maisha yangu ya ujana; Sikuwa na msamaha wala uvumilivu na the so called boyfriend wala mchumba; na imenisaidia kupata mume ambaye naweza kusema ni right for me and am not regreting my 8 years of marriage.
Kama ameanza cheating mkiwa wachumba mwanawane huyo atakuwa analala nje kabisa akikuoa am telling you; people rarely change.
Na kingine kilichonifanya nisiwe na msamaha na hao ma boyfriend (sijawahi kuwa na wachumba zaidi ya mume wangu ila angenichiti ningepiga chini fasta) ni kwa kuwa mtu huwezi jua nani kati yenu anadanganywa. Hata wewe hapo ulipo yawezekana kabisa ukawa "the other woman" ndo maana mwenzio akawa na confidence ya kukujibu hovyo.
Nyie ambao hamjaolewa mko huru kuchagua what is best for you na kupiga mtu chini ni very easy kwani hamna mkataba wowote.
Nilimwachaga boyfriend wangu baada ya kumuona AMESIMAMA na msichana kimahaba; jamaa hakuamini na mpaka kesho anasema eti nilikutana na mapedeshee ndo maana nikamuacha kwani hakuona kuwa ilikuwa ni sababu ya msingi (but it was maana walivyokuwa wamesimama hakukuwa na mjadala alikuwa anamega). Sikumpa hata muda wa kujieleza maana najua wanaume wana mashairi ya kutupumbaza. BUT the truth ni kuwa nilipiga chini wakati sikuwa na hata ninayemuwazia kichwani na nilikaa single for a year ndo nikaanza dating my hubby.
Na my way of reasoning ni kuwa wanaume wengi ni wepesi wa kuchiti wakiwa kwenye ndoa kwa kuwa kuna kuzoeana na kind of kuchokana; Sasa hainijii akilini mwanaume anaye mchiti girlfriend ambaye wanaonana kwa msimu. Hence nilipokuwa naona boyfriend anachiti nili conclude kuwa he is not into me. Sasa ya nini kumganda mtu ambaye penzi langu alijampagawisha. Hence I would rather wait for a man who was meant for me.
Pole sana, punguza mawazo. Na pia usichukue uamuz wa haraka. Tulia kwa muda muweke huyo mchumba mtegoni, mtege na umpime kama anaweza kubadilika. Ukiona anaweza endelea nae.
Hata hvyo naweza kusema na ww pia una tatizo, why uchumba tu miaka minne? Umesema una kazi nzuri na yeye pia sasa kipi kinachowafanya msioane? Sisemi muoane kama bado hamjawa tayari ila at least angekua mume wa ndoa ile security ingekuwepo na ungejua unambana vipi ila haya mambo ya uchumba tu na kuonjana mmh kazi ipo.
Mungu Akusaidie
nimeamua kuandika kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo. Hivi nyie watoto wa kike ni nani aliye walogaaa? Ku wapi kujitambua na kujithamini na kujiamini kwenu? Hivi mtakuwa satumwa wa wanaume kimapenzi mpaka lini?ninalia hadi sauti yanikauka yote haya ni sababu ya mapenzi. Ni dada ambaye nipo kwenye uhusiano kwa mwaka wa nne sasa na mchumba wangu. Nampenda sana, ni mwanaume wangu wa kwanza lakini jumamosi ya juzi amenifanyia kitu mbaya sana kila nikumbukapo naona ni bora niwe mwenyewe kwani mungu kanijalia kazi nzuri tu ambapo napata mahitaji yangu yote bila ya msaada wa mtu yeyote. Nipo naye mbali ingawa kwangu mimi si mbali hata kidogo sababu kila wikiendi naweza kwenda huko alipo na pia dar ni nyumbani (tunafanya kazi mikoa tofauti yeye yupo dar).
Hivi karibuni alikuja kunitembelea hapa kwangu ninapoishi tukapiga stori/tukala na kufurahi na baadaye nikaweka filamu fulani tukawa tunaangalia. Na ndio hapa yote yalipoanza, simu yake ikaanza kuita imeita kwa mara ya kwanza hakupokea, ilipoita kwa mara ya pili nikamwambia pokea simu mbona inaita. Akapokea, akaanza kuongea na huyo mtu (ni dada). Alivyokuwa anaongea huyo dada alikuwa anamlalamikia, halafu akasema anaumwa, mchumba akamuuliza umetumia dawa? Pia akasema bado kuna tatizo mchumba akamuuliza tatizo ni vocha? Akajibu hapana ila kuna tatizo, mchumba akakata simu. (sikuwa na uwezo wa kusikia yote yanayoongelewa na mdada)
muda si mrefu (baada ya dakika kama moja) yule dada akapiga tena akamwambia kwanin anamkatia simu? (muda wote huo nimesimamisha filamu ili yeye aongee maana yake hataki kelele yoyote) wakaendelea na maongezi (sikuwa na uwezo wa kusikia yote) huku mimi nasikiliza baadhi ya maneno lakini huyu dada alikuwa analalamika sana. Alipomaliza nikamuuliza ulikuwa unaongea na nani? Mchumba akanidanganya ya kuwa ni mfanyakazi mwenzie wa kazini, mi nikajibu si kweli kwani analalamika sana, pia ile idara anayofanyia kazi ni wanaume watupu (ni engineer wa kampuni fulani dar).
Mara ya tatu akapiga huyu dada wakaongea tena huku mimi nimekaa hapo pembeni, roho yangu ilikuwa inauma sana sababu nilikuwa naona ni hawara yake kwa jinsi alivyokuwa mchumba anaongea, nikakaa zangu kimya. Mchumba akamkatia tena simu
haijapita hata dakika dada huyu akapiga, nikamnyanganya simu mchumba na kuongea na huyo dada. Akaniambia anataka kuongea na mwenye simu, mm nikajibu amelala (mungu nisamehe nilidanganya) kwani ana shida gani? Yule dada akasema siwezi kukuambia shida zangu wewe nipe niongee na abu. Akaniuliza kwani wewe ni nani yake? Mimi nikajibu ni gf wake, akasema nipe niongee na mchumba wangu huyo! Nikamuuliza mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda gani? Akanijibu hyo si kazi yangu kujua, yeye shida yake ni kuongea na abu. Nikakata simu.
Nikamrudishia simu na akazima kabisa na mchumba hakuwa na amani hata kidogo. Hapo ndio nikaanza kumhoji huyo ni nani yake akajibu ni rafiki wa dada yake anayeitwa tuma (hapa nalidanganywa sababu ni tofauti na aliponijibu mwanzoni), nikamuuliza huyu dada umekuwa kwenye mahusiano naye tokea lini akajibu tokea katikati ya mwaka huu.
Roho imeniuma sana nakawa naona uchungu wa hali ya juu. Wanaume si waaminifu hata kidogo. Nililia kama mtoto mdogo, nikatoka nje huku nalia. Nikakaa huko baada ya dakika kumi nikarudi, nikamwambia mchumba naomba aendelee mahusiano na huyo dada, aniache mimi. Alinisihi sana nisifanye hivyo ila sikuwa radhi.
Nb: Kumbuka ya kuwa anafanya hivyo huku akiwa nyumbani kwangu yaani hapa ninapoishi, yaani nahisi alinidharau kupita kiasi.
Nikamuomba yeye alale chumba kile na mimi nilale chumba kingine, akalia sana huku akiomba msamaha ya kuwa nimsamehe na hatorudia tena. Lakini roho yangu yaniambia hii si kweli kwani alishawahi kunicheat mara kadhaa huko nyuma na nilimsamehe kwa yote, lakn sina amani nae tena, wala raha nae kama zamani.
Mchumba aliendelea kuomba msamaha huku akisema yupo tayari afanye lolote nitakalosema, nilimjibu inabidi akae chini na kuamua ni nani anayempenda kati ya mimi au huyo dada, yeye alijibu hamtaki huyo dada nikamwambia inabidi ampigie simu huyo dada na kumwambia ukweli. Alipowasha simu ikaingia msg kutoka kwa yule dada ya kuwa anataka kuhakikishiwa kutoka kwa mchumba ya kuwa yale aliyoongea nami ni kweli, muda si mrefu yule dada akapiga simu, mchumba akapokea akajibu ya kuwa ni kweli yule dada alisikitika sana. Asubuhi yake alipanda basi la kurudi huko dar.
J3 nikamwambia mm sina amani naye tena naona ni bora niachane nae, mchumba akajibu hayo ni maamuzi ya haraka nikae kwa muda wa wiki moja halafu nimpe jibu kamili ya kuwa nimeamua nini kati ya kuachana nae au kuendelea na haya mahusiano.
Wapendwa sina raha juu ya hili tukio lililonitokea jumamosi ya juzi mida ya jioni. Nimevumilia mengi sana. Nahisi kama ataendelea kunicheat kama huko mwanzo aliweza na hata sasa ameweza nahisi atakuwa anaendelea tu kwani yawezekana ana wanawake wengi.
Nahitaji mawazo yenu, ushauri kuhusiana na huyu mchumba kwani nakosa amani, nakonda kila leo nikikumbuka hili.
wewe ni nourmer ila mnakuaga na tabia za ubinafsi ,mm kuna demu mmoja alinipiga chini kisa kakuta condom kwenye droo na tuligaiwa oficini kwenye semina zetu,namshukuru mungu yeye kusepa coz nilipo sasa ni neema tu.
nimeamua kuandika kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo. Hivi nyie watoto wa kike ni nani aliye walogaaa? Ku wapi kujitambua na kujithamini na kujiamini kwenu? Hivi mtakuwa satumwa wa wanaume kimapenzi mpaka lini?
Hivi we dada nikuulize ni nani aliyekudanganya kuwa huyo ndiye wako wa maisha umvumilie ktk hali yoyote hata ktk upumbavu kama huo? Kama hapo bado ungali mbichi kabisa hata dalili za mimba hujui zikoje, lakini anakufanyia hivyo, je akija kukuweka ndani nakisha kukuzalisha utakuwa na thamani tena kwake? Si hata nyumba yenyewe atahama?
Mshukuru Mungu amekuonyesha mapema kuwa huyo siyo mume. Daima sikio la kufa halisikii dawa. Siye humu tutabaki kukushauri tu but uamuzi wa mwisho unao mwenyewe, but daima tumia akili kuamua, usifuate moyo kwani moyo hauko smart.
Huyo mwanaume siyo muoaji utakuta ana wachumba saba bado anachagua.
NK huwezi kujua, huyu awe mpole tu. Tatizo wanawake mnakimbilia kuachana na wapenz then later inakula kwenu au anapata mpenzi cheater zaidi.
May b jamaa amecheat kutokana na mzingira tu so kama amekiri tena kwa kulia machozi ni wazi hamtaki huyo mpenz wa nje.
So huyu atulie kwa muda apime then atoe uamuzi sahihi na sio kukurupuka tu.
nimeamua kuandika kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo. Hivi nyie watoto wa kike ni nani aliye walogaaa? Ku wapi kujitambua na kujithamini na kujiamini kwenu? Hivi mtakuwa satumwa wa wanaume kimapenzi mpaka lini?
Hivi we dada nikuulize ni nani aliyekudanganya kuwa huyo ndiye wako wa maisha umvumilie ktk hali yoyote hata ktk upumbavu kama huo? Kama hapo bado ungali mbichi kabisa hata dalili za mimba hujui zikoje, lakini anakufanyia hivyo, je akija kukuweka ndani nakisha kukuzalisha utakuwa na thamani tena kwake? Si hata nyumba yenyewe atahama?
Mshukuru Mungu amekuonyesha mapema kuwa huyo siyo mume. Daima sikio la kufa halisikii dawa. Siye humu tutabaki kukushauri tu but uamuzi wa mwisho unao mwenyewe, but daima tumia akili kuamua, usifuate moyo kwani moyo hauko smart.
Kila siku mazingira???HAYAKWEPEKI?
Hapa umemaliza yote. Akumulikaye mchana usiku anakuripua. Huyo wa kupiga na chini tu. Everm, ni bora uumie sasa kuliko kuja kuumia baadaye akisha kukuoa. Uko mdogo bado kuanza upya, tumia uzoefu wa huyu ili kujipanga upya. Utafanya kosa kubakia na huyu kicheche, tahamaki miaka imekwenda, umebaki Mama Majuto. Piga lapa!Pole saana kwa shock; ila ngoja nikwambia jinsi nilivyoishi maisha yangu ya ujana; Sikuwa na msamaha wala uvumilivu na the so called boyfriend wala mchumba; na imenisaidia kupata mume ambaye naweza kusema ni right for me and am not regreting my 8 years of marriage.