Mwenzenu naangamia

kaa kimya mkuu potezea ila ukiona kimya ujue alikuwa anatafuta sababu atakuja mwenyewe asiporud mtafutr mariam .
 
Hahaa huyo bidada naona kaamua kufunga vioo......

Na we usimtafute uchune tu...utaona..hivo unavyotuma

msg wee..anapata kichwa..rejea ushauri wa Madam B
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu..kama tayari mshachumbiana mweleze ukwel kwamba ilikua hivyo awali alivyokukataa,wanawake tunapenda kubembelezwa...natumai atakuelewa kama naye anakupenda kwa dhati..
 
wewe mwenyewe mjinga. Unampenda na umeshaamua sasa unataka tukushauri nini na uamuzi unao? Punguza uchafu kwenye server ya jf
 
Hahaa huyo bidada naona kaamua kufunga vioo......

Na we usimtafute uchune tu...utaona..hivo unavyotuma

msg wee..anapata kichwa..rejea ushauri wa Madam B

Ye muache, anajifanya kichwa ngumu.
Eti anampenda sana.
Sie ndo wanawake bhana.
Sie ni kama vioo...ukicheka, namimi nacheka.
Ukilia, namimi nalia.
Hujaanza wewe kutendwa..au umeanza chuo, ukaopoa demu!
Huyo dawa yake nayeye unamlia gati kama miezi hivi, mwenyewe atarudi.
Chezea panapokupa ugali nini.
Afu ndo unataka kumuoa.
Fungate, utakuja kuleta thread humu.
Na tutakuchambaaaaa...
Hakufai huyo.
 
Last edited by a moderator:

ni pm namba yake nikusaidie kumbembeleza
 
Tulizana kwa kukaa kimya, najua hili si rahisi kwa jinsi unavyompenda mpenzi wako. Kama kweli naye anakupenda kwa penzi la kweli toka moyoni kwake basi atakutafuta tu. Kaa kimya uone upepo utaelekea upande gani.

nashukuru mkuu, nimesha mueleza ukweli woote kwenye msg. Hajajibu hata moja japo nimetuma msg nyingi sana na naendelea ktuma. Nahisi wala hazisomi coz alinipigia simu analia akanambia nisimtumie tena msg then akakata.
 
Ushauri wa watu wengi hapa unafanana?, za kuambiwa changanya na zako?!!!!


Kaaa kimya!!! Unampenda ndio km yy hakutaki tena je!? Umejiandaajei?
 
 
wewe mwenyewe mjinga. Unampenda na umeshaamua sasa unataka tukushauri nini na uamuzi unao? Punguza uchafu kwenye server ya jf

its better to take your mouth than to talk foolish in a mass of great thinker!
kama hauna commet kaa kimya wenye upeo wachangie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…