mwenzenu mi naona aibu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,513
Reaction score
167,171
Hebu taja bitozi yeyote au sista du yeyote, awe mwana muziki au mcheza sinema za kibongo,
kwa nini hawabandiki mitandao ya kijamii picha za nyumbani kwao ili tuone maisha yao halisi ikiwa ni pammoja na wazazi wao na ndugu zao wa karibu?
kila siku naona wanabandika mapicha waliyopigwa kwenye majengo na mahoteli ya hali ya juu.
 
Mtu anaweka hadharani kitu kinachompa furaha,na kama hizo picha za home au familia hazimi raha mwache apotezee....after all siku hizi watu wanaangalia SWAGA tu
 

ndo maana nampenda Alwatan 20 Paa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…