ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,662
- 2,569
KUmbuka hakuna anae penda kufeli ila ni matokeo ya maandalizi mabovu au sababu zingine zisizozuilika kama msongo wa mawazo,pepa likakujia vibaya kama sisi practical A ya physics 2014 kwa iyo bro eventhou truth will remain there but everything happen for a reason.....
dah kaka unankumbusha vit vya ataly sana uktaja practical A ya physics mwaka jana ilkua noma sana bonge la chenga mwili wat jasho lnatutoka t ndan atuelewi kinachotutokea,,ilkua noma sana dah..