Mwenzenu majanga

Mwenzenu majanga

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
866
Wana jf mko pouwa,,, jamani naombeni ushauri coz nko stressed cjachaguliwa coz yoyote na TCU up 2 now even private na ufahuru wangu ni GPA ya 2.7 nimesoma pcb na nilijaza almost education sasa sijui nifanye nini hh 4th round hakuna fulcut yoyote ya sayansi zaidi ni education in art msaada wa mawazo na ushauri ilinijue nitafanya nn coz hata him bado cjawabia
 
Wana jf mko pouwa,,, jamani naombeni ushauri coz nko stressed cjachaguliwa coz yoyote na TCU up 2 now even private na ufahuru wangu ni GPA ya 2.7 nimesoma pcb na nilijaza almost education sasa sijui nifanye nini hh 4th round hakuna fulcut yoyote ya sayansi zaidi ni education in art msaada wa mawazo na ushauri ilinijue nitafanya nn coz hata him bado cjawabia

Jaza hyo hyo art ukifika chuo utaomba uame course coz kwa brn hii hata useme usubir mwakani mambo ni yaleyale
 
hzo GPA zenu mnatukoroga sana. by the way chagua kozi utaenda kubadilishia hukohuko chuo. nakushauri pia UDOM iskosekane kwny machaguo yako
 
Ivo ikatokea nikajaza education in history na Mimi cjasoma history wakasumbua kuhama inakuwaje??
 
daah pole sana kijana japo nami ni muhanga lakini naomba niweze kushare nawe japo kiduchu nikijuacho,kwanza kijana ukijichanganya utakosa mkopo cha kufanya omba kozi zenye mikopo walau hata kiduchu then fuatilia transfer,mimi nilimaliza 2014 nikiwa na div 3.11 nimetoka jeshi na stress baada ya kukosa chuo nikajaza open university bila kujua ipoje kuulizia watu nikaona sistahili kusoma apo nikaomba transfer nikapata st.johns dom education uku me na uroho wa kusoma MD nikahamia nursing wakanipokea nikajitahidi ivo ivo kiugumu semester ya kwanza ikaisha nilipoona mkopo unazidi kua tatizo NIKAACHA ili niombe tena asee sijawahi kudream kusoma engineering kwa iyo round zote tatu nilijitahidi kujaza vyuo walau vya bei nafuu MD nikatemwa ILA KUMBUKA GOD IS GOOD ALWAYS itabidi nijaze walau vyuo nipate mkopo ili niweze kuhama
 
Atajazaje arts na hana vigezo?mnataka akose na raundi hii
 
mungu anakumbukwaga wakati huu. na cha ajabu zaidi huwa anajibu maombi!!!
 
KUmbuka hakuna anae penda kufeli ila ni matokeo ya maandalizi mabovu au sababu zingine zisizozuilika kama msongo wa mawazo,pepa likakujia vibaya kama sisi practical A ya physics 2014 kwa iyo bro eventhou truth will remain there but everything happen for a reason.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom