mwenzemu jamani sijielewi!

mwenzemu jamani sijielewi!

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
12,105
Reaction score
35,136
nimeenda kanisani na furaha ile kuingia tu! namuona mpenzi wangu alieniacha kipindi kama hiki hiki mwaka jana. moyo umekufa ganzi miguu imenilegea na akili yangu imevurugika na hata kwa bahati mbaya ibada haijaenda vizuri kwangu.tokea aniache kwasababu alizoziita yeye ndugu zangu mimi hawakumpenda,lakin kilichomtoa kwangu ni mwanaume mwingine dereva wa bodaboda,pamoja nilikuwa nachukuliwa mwanamke wangu sikuridhia aondoke japokuwa kulikuwa na migogoro ya kifamilia iliosababisha tusifunge ndoa ingawa nilikaa nae miaka 3. nampenda sana namuota maranyingi sana,kwa kipindindi chote alichoondaka hajanitoka ktk mawazo yangu. na sijawai kumuona isipokuwa leo na tamani kurudiana nae ila najiuliza nianzie wapi sijui ameshaolewa? sijui anakaa kwa nani? sijui atanikubali tena? sijui baba yake ataridhia?. ninaamini jumapili ijayo nitamuona tena na natajikaza kuzungumza nae sijui itakuwaje. kabla sijakutananae 2009 nilimuomba Mungu nimuomba anipende akakubali na saiv naenda tena kwa JINA LA BWANA.
 
Go get laid banaa, aaagh! Be the man just this once, will ya?!
 
Haya bhana subir jmapili nyingne ukamuone tena........ Kila mtu ananyota yake nafkir ww nyota yako ni ya kulilia wanawake. Kwan wanawake wameisha?!
 
Wewee hao wadudu niwengi sana sikuizi tangaza nia tu uone utapewa mpaka bure ,piga chini Li beach hilo kamata mzigo mwengine Weka ndani
 
Hukwenda kusali kama kusali bali ulienda kanisani kama ratiba. Kabla hujaenda mbele ya Bwana kuwa na tabia ya kuomba utakaso na ukaribu na Mungu. Pia jua ya kuwa mpenzi wa kweli na asiye na tamaa wala makuu ni mmoja tu naye ni Muumba.
 
Ina maana hata kumsemesha baada y sala umeshindwa?? Hata kumsalimu pia ulikuwa unaogopa?

nimeshindwa ndugu yangu nibebaki mlangoni nikistaajabia nikaona anakata kushoto na mie nilikuwa naelekea kulia.
 
sindikiza na picha bas mkuu

article-1340185-0C8BB63E000005DC-335_468x286.jpg
 
Hukwenda kusali kama kusali bali ulienda kanisani kama ratiba. Kabla hujaenda mbele ya Bwana kuwa na tabia ya kuomba utakaso na ukaribu na Mungu. Pia jua ya kuwa mpenzi wa kweli na asiye na tamaa wala makuu ni mmoja tu naye ni Muumba.

ndugu ya sijaenda kanisan kama ratiba, nilienda kusali na kusikiliza neno la Mungu na kila siku itakayo kwa Mungu nahudhuria ibada,sikuwa na matarajio ya kuja kukutana na huyo mwanamke na nilipokuwa naingia tu nilimuona yeye amekaa siti ya nyuma niambie ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
We na uran ni ndugu? Manake hyo staili yenu ya kupenda inafanana
 
nimeshindwa ndugu yangu nibebaki mlangoni nikistaajabia nikaona anakata kushoto na mie nilikuwa naelekea kulia.

Sasa j2 ijayo kaza kiume sawa? usikute na yeye saa hii anakuwazia hivyo wewe lala tu shauri yako
 
pole sana hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine na maisha yanasonga wakati wewe unamuona x wako kuna mtu alikuwa anaingia polisi anagongwa na gari anaingizwa mochwari nk nk
 
Back
Top Bottom