mwenzemu jamani sijielewi!

mwenzemu jamani sijielewi!

kuwa machine gun achana na vibisto mkuu we lia lia bodaboda si unawajua sa mingi wamenyeshea bustani
 
Wewee hao wadudu niwengi sana sikuizi tangaza nia tu uone utapewa mpaka bure ,piga chini Li beach hilo kamata mzigo mwengine Weka ndani

Like seriously unawaita "wadudu"!!!!!!wanawake unawaita wadudu!!!!!!mwanamke aliumbwa mdudu alitamkwa tu akatokea ila wewe leo unaona leo wote wadudu tu!!!duh!!!!
 
Kumbushia kwa kuzini mkuu? huoni kama kanisani ndio itakua ni sehemu ya kukutania wazinifu? unaliongeleaje hili?...Ibada au mgegedo?
 
pole sana hiyo ni ajali kama zilivyo ajali nyingine na maisha yanasonga wakati wewe unamuona x wako kuna mtu alikuwa anaingia polisi anagongwa na gari anaingizwa mochwari nk nk

Mmmhhh Hili nalo neno
 
Wewee hao wadudu niwengi sana sikuizi tangaza nia tu uone utapewa mpaka bure ,piga chini Li beach hilo kamata mzigo mwengine Weka ndani

Unatuitaje ww!!!
Na dada zako na.mama yako si tupo nae kundi 1 eeh?

Umekosa cha ku comment? !!
 
article-1340185-0C8BB63E000005DC-335_468x286.jpg

mkuu umetisha kwa picha mana picha inajieleza vzuri
 
^^
Mungu anapozuia jambo, anajua faida zake kwako.
Maisha yapo bado..usilazimishe mambo. Unaweza fuga donda usipate dawa
^^
 
^^
Mungu anapozuia jambo, anajua faida zake kwako.
Maisha yapo bado..usilazimishe mambo. Unaweza fuga donda usipate dawa
^^

si kataka mwenyewe kwani ni mtoto miaka mitatu bado anaganda kama si ukame ni nini au huna soko kupe
 
si kataka mwenyewe kwani ni mtoto miaka mitatu bado anaganda kama si ukame ni nini au huna soko kupe

^^
Fikra hazikuwahi kushinda nguvu ya kupenda.. Tumpe moyo tu arudi ktk hali yake..aliyepitia hili anajua nalosema
^^
 
Hizo ndo POST TRAUMATIC STRESS DISORDER. Jikaze mtoto wa Kiume. Kwani we ushakuwa na wangapi mpaka kufikia huyo? Hujawahi kuacha ama kuachwa kabla ya huyo. Tumia uzoefu. Chukulia kama alikufa na maisha yan atakuwa yaendelee. J2 njema
 
Kama unampenda kwa dhati vizia hata muda wa kutoa sadaka mkiwa kwenye foleni lianzishe naamini atakuelewa tu!
 
^^
Fikra hazikuwahi kushinda nguvu ya kupenda.. Tumpe moyo tu arudi ktk hali yake..aliyepitia hili anajua nalosema
^^

unauelewa gani kuhusu mapenzi?afunguke dats all anapenda jiwe no feedback si u .t.a. h. i .ra
 
Hizo ndo POST TRAUMATIC STRESS DISORDER. Jikaze mtoto wa Kiume. Kwani we ushakuwa na wangapi mpaka kufikia huyo? Hujawahi kuacha ama kuachwa kabla ya huyo. Tumia uzoefu. Chukulia kama alikufa na maisha yan atakuwa yaendelee. J2 njema

kusema ukweli yeye alikuwa mwanamke wangu wa kwanza sema baada kuondo nikashauriwa nitafute mwingine ktk jitihada hizo sikuona kama yeye tokea hapo niko hivihivi.
 
Back
Top Bottom