Mwenzako akinyolewa............!!?



Nahisi watamwambukiza hata huyu Wa kwetu.. Maana hao wote ving'ang'anizi
 


Nahisi watamwambukiza hata huyu Wa kwetu.. Maana hao wote ving'ang'anizi
Huyu wa kwetu hana haja ya kuambikizwa. Akitawala miaka mitano ni sawa kabisa na hao wengine kutawala miaka hamsini
 
Hakuna chenye mwanzo bila ya mwisho. Mungu tu
 
Huyu wa kulia alitoa angalizo mapema "anaye taka hii nchi aende msituni mimi niliikuta huko" yuko vizuri hatishwi
 
Huyu wa kulia alitoa angalizo mapema "anaye taka hii nchi aende msituni mimi niliikuta huko" yuko vizuri hatishwi
Awe makini asije akaponzwa na maneno yake, kila mjanja ana mjanja wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…