Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,498
- 1,297
Seems Una kauli nzuri.. Unajibu maswali vizuri. Ndo mtoto wa kiislam anapaswa kuwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama ulikuwapo hata mimi nimefurahishwa na hili...nimeshaoa lakini ninatamani hata kumsaidia huyu binti apate mwenza Muislam safi, kwa jinsi anavyojibu maswali sichelei kusema atakuwa mke mwema!