Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

duh napata wasiwasi mpaka unagonga 30,no fiancee!!em tuwekee picha yako tafadhali,wengine tunaogopa kuingia mkenge lol

Kuwa na shaka ni kitu cha kawaida sana, ila kama unania hata shaka usingekuwa nayo. Ndo maana huwa kuna kuonana ili kukubaliana na hali ya kila mmoja! Na pia haimaanishi sikuwa na mahusiano katika maisha yangu, la hasha, ila si kila mahusiano huzaa matunda yaliyo mema! Nadhani utakuwa umenielewa.
 
Mungu akubariki katika safari yako ya kutafuta mwenza wa kweli. Nimependa jinsi ulivyo muwazi na unavyojibu maswali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom