Mwenza bora anahitajika

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa Johhana, lakini si unakumbuka Kikwete wosia wake? Za kuambiwa...
Mkuu si umeona Kuna watu wesema kuwa Wana sifa zote?.
 
aisee, ya kweli hayo?. Mana sitaki ata kuamini mkuu.
Angalia email yako, nimekutumia wasifu wangu pamoja na picha yangu.

Tutafute kabisa nyumba yenye fence , mashoga zako wasinione kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…