PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.

Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.

Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.

Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.

Yaani ushindi wa CCM sawa na kifo maana yake nini??? Hebu aliyemuelewa afafanue jamani. Yaani hakika Mh. Kawaida hapa hajaeleweka kabisa.
 
Ina maana ushindi wa CCM haukwepeki kama vile binadamu asivyoweza kukwepa kifo.
 
Dah nadhani wana CCM katukwaza, kama Gwajiboy katumia mfano wa comrade mtoto wa rais anatafutwa auawe na polisi wetu wa Tanzania inakuwaje yeye atumie mfano wa CCM na kifo???? Nadhani halikuwa neno rais ni sawa na kujitabilia CCM inaenda kufa kwa migogoro. Cheki tu katiba yetu ya uchaguzi ya chama hatukuifuata na leo unatumia neno kifo
 
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu kimetekeleza Ilani yake kwa kishindo.

Mwenyekiti Kawaida amewataka Vijana kuwa tayari kukilinda CCM muda wote kwa sababu Ulinzi wa CCM ni jukumu la Vijana.

Ameyasema hayo katika Mkutano wa ndani uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nazareth, Manispaa ya Sumbawanga leo 15 Juni, 2025 ikiwa ni tamati ya Siku mbili za Ziara yake Mkoani Rukwa.

Kawaida anaendelea na Ziara yake ya Siku Saba za Kibabe katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe itakayomalizika 17 Juni, 2025.

wapumbavu sana sana nyie
 
Acha kulia lia. Ushindi wa CCM ni lazima
 
ANAMAANISHA VIJANA WANATAKIWA WAONGEE UJINGA, WAFANYE VURUGU KWENYE MIKUTANO YA CHADEMA,NA VIJANA WABAKI KUTII BILA KUHOJI KAMA "MBWA"!!?
 
Back
Top Bottom