hahahaha......hiii kweli noma, usiombe sasa balaa lile kwa refarii, utakuta refarii anachezesha mpira ukifika mwisho anaelekea upande wa nyumba ilio karibu then akimaliza tu ni mbio mpaka ndani......hahahahha
Hii picha nimeipanda[/QUOTE]
angalia usianguke ulivyoipanda!!!!
yaani we acha tu hizi mechi za mchangani refa lazima ujue kutimua mbio
Kiswahili kigumu nyieHii picha nimeipanda
duh.... bonge balaa[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]" Kocha wa Taswa Fc, Ally Mkongwe, akiwa nje ya uwanja wakati akitoa maelekezo kwa wachezaji watimu yake huku akijihami na silaha ya mawe,ni baada ya mchezo huo 'kunuka' yaani kuharibiwa na mchezaji Nsa Job na kusababishavurugu. .[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
mia