sikukuu ya Christmas na mwaka mpya imeingia mtimanyongo jamaa hana raha kwa kua kiki zimetiwa mchanga na askofu kitumbua hakilikiInapaswa ajiulize Mara mbili wapi kakosea.
Ikibidi amuite baba askofu amueleze atubu kwa lipi.

Nchi hii ina safari ndefu sana yan mtu ana hadi smartphone yakuingia JF lakini kashindwa kuelewa maudhui ya mleta mada jamani? Tunaenda wapi? Usikute wote hawa walioporimosha matusi ni first, second na 3rd year, wanajiita wasomi wa vyuo vikuu. Nimeumia aisee.Kwi kwi kwi kwi kwi mie nimekusoma Mkuu.
Umeongea mengi lakini ubeti wa Mwisho ni wa Kipumbavu kabisa. Ubet umemgeuza kuwa Malaika asiekosea, tumsikilize yeye tu kama nani? Asishauliwe? Endeleeni kuropoka tuAskofu Zakary Kakobe mpuuze na hoja igeuze. Huna haja wala hoja ya kutubu kwa toba kwakuwa unatoa tiba kwa miiba ya Tanzania. Unatibu bila tabu yaliyokuwa majaribu mujarabu kwa watanzania. Usitubu!
Usijali. Tunakuombea na kukujibia. Tutamjibu kwa mbwembwe kuliko kunyoa kwa wembe hadi Askofu ajione mzembe. Tutampa majibu ya mbali na karibu hadi aulaumu utaratibu uliomsibu. Usitubu!
Jijenge, jitenge na waingize mkenge. Jifagilie, jiandalie na jifurahie. Ni wakati wako chamani na Serikalini. Kataza hata kwa kuliza fujo za hovyo za mikutano na kuhutubia kwa kujielezea. Huna haja ya kutubu!
Kula nanasi kunahitaji nafasi. Unayo nafasi bila kufosi ya kujinafasi bila wasiwasi na kutajwatajwa wewe tu. Hutubia, tumbua, kemea, kamatia, zingatia, puuzia, koromea na kagua. Ni wewe tu, usitubu!
Demokrasia huleta ghasia. Mikutano hubadili mtazamo. Giza husaidia. Giza hulinda na kuunda. Tuache bila mikutano wala mitazamo. Tukusikie na kukufuata wewe tu. Usitubu, usijipe tabu!
Mambo ya expansion joints hayo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi,Kenya)
Kwa sababu yeye anashurutisha aombewe! Na kanuni ndio hiyo, no kutubu no kuombewa.Hivi kutubu mpaka ushurutishwe...? kakobe naye akili zimeanza kumruka...apleke stress zake huko..
kweli huu ni mwisho wa duniaAskofu Zakary Kakobe mpuuze na hoja igeuze. Huna haja wala hoja ya kutubu kwa toba kwakuwa unatoa tiba kwa miiba ya Tanzania. Unatibu bila tabu yaliyokuwa majaribu mujarabu kwa watanzania. Usitubu!
Usijali. Tunakuombea na kukujibia. Tutamjibu kwa mbwembwe kuliko kunyoa kwa wembe hadi Askofu ajione mzembe. Tutampa majibu ya mbali na karibu hadi aulaumu utaratibu uliomsibu. Usitubu!
Jijenge, jitenge na waingize mkenge. Jifagilie, jiandalie na jifurahie. Ni wakati wako chamani na Serikalini. Kataza hata kwa kuliza fujo za hovyo za mikutano na kuhutubia kwa kujielezea. Huna haja ya kutubu!
Kula nanasi kunahitaji nafasi. Unayo nafasi bila kufosi ya kujinafasi bila wasiwasi na kutajwatajwa wewe tu. Hutubia, tumbua, kemea, kamatia, zingatia, puuzia, koromea na kagua. Ni wewe tu, usitubu!
Demokrasia huleta ghasia. Mikutano hubadili mtazamo. Giza husaidia. Giza hulinda na kuunda. Tuache bila mikutano wala mitazamo. Tukusikie na kukufuata wewe tu. Usitubu, usijipe tabu!
Mambo ya expansion joints hayo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi,Kenya)
Askofu Zakary Kakobe mpuuze na hoja igeuze. Huna haja wala hoja ya kutubu kwa toba kwakuwa unatoa tiba kwa miiba ya Tanzania. Unatibu bila tabu yaliyokuwa majaribu mujarabu kwa watanzania. Usitubu!
Usijali. Tunakuombea na kukujibia. Tutamjibu kwa mbwembwe kuliko kunyoa kwa wembe hadi Askofu ajione mzembe. Tutampa majibu ya mbali na karibu hadi aulaumu utaratibu uliomsibu. Usitubu!
Jijenge, jitenge na waingize mkenge. Jifagilie, jiandalie na jifurahie. Ni wakati wako chamani na Serikalini. Kataza hata kwa kuliza fujo za hovyo za mikutano na kuhutubia kwa kujielezea. Huna haja ya kutubu!
Kula nanasi kunahitaji nafasi. Unayo nafasi bila kufosi ya kujinafasi bila wasiwasi na kutajwatajwa wewe tu. Hutubia, tumbua, kemea, kamatia, zingatia, puuzia, koromea na kagua. Ni wewe tu, usitubu!
Demokrasia huleta ghasia. Mikutano hubadili mtazamo. Giza husaidia. Giza hulinda na kuunda. Tuache bila mikutano wala mitazamo. Tukusikie na kukufuata wewe tu. Usitubu, usijipe tabu!
Mambo ya expansion joints hayo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi,Kenya)
Kwa sababu yeye anashurutisha aombewe! Na kanuni ndio hiyo, no kutubu no kuombewa.
Hivi kutubu mpaka ushurutishwe...? kakobe naye akili zimeanza kumruka...apleke stress zake huko..
We sema umeenda Kumuangalia Tundu Lissu...
...
...
Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi, Kenya)
Wee dogo huna adabu kwa wazazi, usimhusishe asiehusika wewe pambana na huyo zwazwa tu.Kamwambie Babako atubu kwanza kwa kukuzaa!
Umeniangusha sana, hivi hujaelewa chochote kabsaaaa!!!!Ushauri huu ni wa kikarumanzira.
Hivi unaambiwa utubu wewe kama shetani unasema asitubu?
Hizi akili sio hata za mbayuayu ni za bundi aiseh
kama siyo Sundi malomo atakuwa Kabula wa Kebbys hotel mwenge au Angela K.Hovyoo! Mapenzi mazito kuliko hata Janeth mpaka unaonyesha ubwege mkubwa. Au wewe ni yule aliyetunukiwa nyumba za serikali wakati ule?
Tuliza papa hilo weweMr. Kigeugeu,
Unayependa kudanganya ulipo na juu ya chama unachokiabudu.. naona sikukuu hii umekula chakula ambacho hujawahi kukila kabla eeeeeh