Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema;
"Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini kwetu. Mimi natokea Bukoba Vijijini kuna kijiji kinaitwa Nyanga.
"Nina ndugu zangu wapo kijiji jirani Kilimilile walikuwa wakichota maji Mto Kagera wanapambana na mamba, wanaliwa! Lakini Leo hakuna mtu aliyepo Kilimilile anayekwenda kuteka maji Mto Kagera kwa kutumia baiskeli. Vijiji vingi sana vina maji"
"Watu sijui wanajizima data au sijui hamnazo. Ukipita kwenye vijiwe na kwenye mtandao vinavyozungumzwa kama vile hakujawahi kufanyika kitu chochote nchini, sio sawa"