chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia amedai kuwa kuwakata kodi kwenye viinua mgongo ni kuwakata kodi mara mbili kwa kuwa wanakatwa kodi tayari kwenye mishahara yao na ametaka serikali kufikiria tena suala hilo