Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

Nyie hamjajua akili za mkuu wa nchi. Amewaza mbali sana kumchagua mama ACT kuwa pale.
Pale ameona ule mkoa CHADEMA imeshika hatamu na tangu enzi za Mzee Mkapa wanajitahidi kuunasua wanashindwa.

Vuta kumbukumbu nguvu CCM enzi za Mkapa waliyotumia kumng'oa Hayati Ndesamburo wakashindwa na nguvu CCM waliyotumia enzi yote ya JK kumng'oa wanashindwa pia.

Awamu hii wamempeleka Mama ACT ili akawagawe CDM wengine wawe ACT then CCM Iweze kuwatawala vizuri
 
FEA wa mivalooo eh fea .baba na mwana wanaimba na kucheza .tin tin tin oh feyaaaaaa
 
Kamati ya siasa ya mkoa haiwezi kukaa bila kuwepo kwa mkuu wa mkoa. Itabidi akubali uanachama ili aweze kuhudhuria vikao vya mkoa.
Usilazimishe mambo nawe, hivi hata vitu vya wazi kama hivi ni lazima watu wabishane? RC au DC ni mjumbe wa kawaida ktk vikao hivyo wala si kiongozi wa vikao.
 
Hiyo maana umeitoa wapi au umeamua kutafsiri unavyoona inafaa? Maana lazima kungekua na kifungu kinachofafanua kama ikitokea vinginevyo
Umeshaambiwa ambaye ni mwanachama wa ccm, asiye mwanachama si mjumbe, kutafsiri hili hadi uwe msomi wa diploma jamani?
 
Back
Top Bottom