Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

Kwa hiyo katika hotuba yake yote umeona neno VIGAZETI tu? Mengine yote umeyasahau?

hata angesema Mgazeti Mkubwa bado ungemkosoa tu.

Mengi aliyoongea ni mazuri kuliko mabaya unayoyatafuta kwa tochi.

tujitahidi kuangalia yale ambayo ni positive.
 
Vichokochoko ndivyo alivyo kuropoka ropoka tu bila break. Sasa leo katuthibitishia uhuru ni kijigazeti tu cha hovyo hovyo 😜😜
 
Anajua hakua cha kufanya na hakuna wa kumuhoji ..... Nguvu yake ndni ya chama kama mwenyekiti na nguvu yake serikalini kama Rais ... hakuna wa kufurukuta. Na Mwendazake alishatujengea precedence ya namna ya kuwhandle the OUTLIERS ....!!
 
Katika hali ya kawaida muhariri/mhariri wa gazeti uhuru angeamua kujiuzulu kulipa heshima gazeti lake, siku zote imeandika mazuri kuteleza kwa makala moja tu eti akuvumiliki, jihuzuru!
 
Wapige kura za kutokuwa na imani naye. Gazeti letu la chama kubwa kuitwa kijigazeti?!🤤
 
Ndiyo ameshasema 2025 ni yeye,na baada ya kulidhibiti Sukuma Gang kwa msaada wa Msoga Gang sasa ni amri moja tu toka Makunduchi, asiyetaka ahamie Burundi. Ameshatuona wanaume wote wa nchi hii ni maboya. Hii ndiyo injili mpya toka Chifu mkuu Hangaya.
Kinachoniuma mimi ni kuongozwa na raia wa nchi nyingine, sipendi kabisa, poa tu ya wakubwa tuwaachie wenyewe
 
Ndiyo ameshasema 2025 ni yeye,na baada ya kulidhibiti Sukuma Gang kwa msaada wa Msoga Gang sasa ni amri moja tu toka Makunduchi, asiyetaka ahamie Burundi. Ameshatuona wanaume wote wa nchi hii ni maboya. Hii ndiyo injili mpya toka Chifu mkuu Hangaya.
Kauli zake ni kama kuna vita kati ya wanaume na wanawake...kwa kweli bi mkubwa kajaa kiburi mno kwa sasa.
 
Hajakosea inawezekana hawa nguvu ya kuwacontrol ndani ya chama. Yaani nyumba imefitinika ni mnyukano kwa kwenda mbele
 
Mmezoea kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.... safari hii mtakula mafi yenu nyau nyie...
 
Halafu naona wapambe wanamdaganya Mama kuwa anakubalika. Wanapotoka mnooo.
 
Ndio ukweli huo kwani si ni kigazeti?
 
..... Nguvu yake ndni ya chama kama mwenyekiti na nguvu yake serikalini kama Rais ...
2025 ndio tutajua kama ana nguvu au mwepesi uzito wa unyoya. 2015 Kikwete alikuwa rais na mwenyekiti wa chama tawala lakini akashindwa kumpitisha chaguo lake.
 
Kuweni waangalifu, jinsia ya kiume si sababu ya mwanamke kukosa madaraka, tusichonganishwe! Yeyote anaehisi anaweza kuwania nafasi ya juu, na afanye na si kwa kuwa aliyepo ana maumbile ya kike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…