Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Mara ampongeza Mh. Membe

alteza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
209
Reaction score
53
Wazungu wana msemo wao kuwa,"If you cant fight them,join them".Jana msemo huu umejidhirisha hadharani baada ya Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Manyara Komredi Regina Ndege kukubali kuwa Mh.Membe ndiye kiongozi anayefaa kuongoza nchi.

Hii imetokea baada ya Mh.Membe kuzungumzia kwa ustadi mkubwa masuala yanayohusu taifa hili hususani kiuchumi,kijamii na kisiasa.Mh.Membe jana kupitia semina iliyoandaliwa na Uvccm pale Msasani Club alitoa suluhisho la tatizo la ajira nchini kwa vijana na kuwaasa viongozi wenzake kuacha kulalamika kuwa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka bila kutaja solutions za kuzuia bomu la ajira kulipuka.

Kutokana na ustadi mkubwa wa Mh.Membe katika kutoa mada,kufafanua na kujibu maswali ya washiriki wa semina ilimbidi Mwenyekiti huyu wa Uvccm mkoa wa Manyara kushindwa kujizuia kuomba nafasi ya kutoa salamu za shukrani kwa Mh.Membe kwa nasaha zake za kisomi ambazo ni mwarobaini wa yanayolisibu taifa kwasasa.

Alisema,"Mh.Membe kwa niaba ya wenzangu tunakushukuru sana.Hakika umetukosha sana,umekata kiu yetu.Wewe ni kiongozi imara,unaijua nchi.Wewe ni mkombozi wetu watanzania.Tuna imani utatufikisha pale ambapo hatujafika"..Regina Ndege.

Imetolewa na;
Friends Of Hon.Membe
 
Ni nani alisema Mtu mmoja anaweza kutatua matatizo ya nchi hii?Wakati matatizo na umaskini ukiwaandama watanzania kutokana na sera mbovu za CCM ,Membe alikua kwenye System.Alifanya nini?

Wakati anatetea safari za Rais nje ya nchi zinazotumia mabilioni ya fedha badala ya kuwekeza katika viwanda vidogo vidogo na vya kati ili kukuza Ajira akili zake zilikua wapi?
 
hivi huyu ni mgeni ndani ya serikali ya CCM? ... wanafiki wamezidi!

hata JK alikuja kwa mtindo huu huu kujifanya yeye ni tofauti na waliomtangulia ... watanzania wanajuta kwa sasa!

tushasema uongozi wa mtu kumpasia sijui ndugu yake tena sijui wameoa sehemu moja ni mwisho .... TANZANIA needs a new and fresh direction!
 
Ni nani alisema Mtu mmoja anaweza kutatua matatizo ya nchi hii?Wakati matatizo na umaskini ukiwaandama watanzania kutokana na sera mbovu za CCM ,Membe alikua kwenye System.Alifanya nini?

Wakati anatetea safari za Rais nje ya nchi zinazotumia mabilioni ya fedha badala ya kuwekeza katika viwanda vidogo vidogo na vya kati ili kukuza Ajira akili zake zilikua wapi?

unajua nini kilichoongelewa au unakurupuka tu kama umetelemka kwenye BODA2?
 
Membe alikuwa katika system,je katika idara gani?Lets argue kwa facts.Tuache kulalamika.Mbona aliyesema ajira ni bomu la taifa linalosubiri kulipuka anaaminisha kuwa pekee anaweza kutatua matatizo ya nchi!?
 
Kwani Membe hajawa Afisa Ubalozi,hajawa ndani ya TISS.Yote haya hakuyaona?Hajawa Naibu waziri?Hajawa waziri?

Wote yeye na huyo anayetabiri na kujifanya 'The Prophet of Doom" hawana tofauti.
 
Wazungu wana msemo wao kuwa,"If you cant fight them,join them".Jana msemo huu umejidhirisha hadharani baada ya Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Manyara Komredi Regina Ndege kukubali kuwa Mh.Membe ndiye kiongozi anayefaa kuongoza nchi.

Hii imetokea baada ya Mh.Membe kuzungumzia kwa ustadi mkubwa masuala yanayohusu taifa hili hususani kiuchumi,kijamii na kisiasa.Mh.Membe jana kupitia semina iliyoandaliwa na Uvccm pale Msasani Club alitoa suluhisho la tatizo la ajira nchini kwa vijana na kuwaasa viongozi wenzake kuacha kulalamika kuwa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka bila kutaja solutions za kuzuia bomu la ajira kulipuka.

Kutokana na ustadi mkubwa wa Mh.Membe katika kutoa mada,kufafanua na kujibu maswali ya washiriki wa semina ilimbidi Mwenyekiti huyu wa Uvccm mkoa wa Manyara kushindwa kujizuia kuomba nafasi ya kutoa salamu za shukrani kwa Mh.Membe kwa nasaha zake za kisomi ambazo ni mwarobaini wa yanayolisibu taifa kwasasa.

Alisema,"Mh.Membe kwa niaba ya wenzangu tunakushukuru sana.Hakika umetukosha sana,umekata kiu yetu.Wewe ni kiongozi imara,unaijua nchi.Wewe ni mkombozi wetu watanzania.Tuna imani utatufikisha pale ambapo hatujafika"..Regina Ndege.

Imetolewa na;
Friends Of Hon.Membe
Mbona sioni alipoeleza yeye ana suluhisho gani la ajira zaidi ya Kuwauzia wenzake wasiseme ukweli huo ya kuwa ni 'bomb linalosubiri kulipuka'. Ninavyojua na kusikia wasemao hivyo hutoa pia suluhisho la kufufua na kujenga viwanda vipya vinavyochochea ajira. Je yeye ana njia tofauti ya hiyo?
 
sasa hizo nasaba mbona hazitumiki tujikwamue kiuchumi?
 
Wazungu wana msemo wao kuwa,"If you cant fight them,join them".Jana msemo huu umejidhirisha hadharani baada ya Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Manyara Komredi Regina Ndege kukubali kuwa Mh.Membe ndiye kiongozi anayefaa kuongoza nchi.

Hii imetokea baada ya Mh.Membe kuzungumzia kwa ustadi mkubwa masuala yanayohusu taifa hili hususani kiuchumi,kijamii na kisiasa.Mh.Membe jana kupitia semina iliyoandaliwa na Uvccm pale Msasani Club alitoa suluhisho la tatizo la ajira nchini kwa vijana na kuwaasa viongozi wenzake kuacha kulalamika kuwa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka bila kutaja solutions za kuzuia bomu la ajira kulipuka.

Kutokana na ustadi mkubwa wa Mh.Membe katika kutoa mada,kufafanua na kujibu maswali ya washiriki wa semina ilimbidi Mwenyekiti huyu wa Uvccm mkoa wa Manyara kushindwa kujizuia kuomba nafasi ya kutoa salamu za shukrani kwa Mh.Membe kwa nasaha zake za kisomi ambazo ni mwarobaini wa yanayolisibu taifa kwasasa.

Alisema,"Mh.Membe kwa niaba ya wenzangu tunakushukuru sana.Hakika umetukosha sana,umekata kiu yetu.Wewe ni kiongozi imara,unaijua nchi.Wewe ni mkombozi wetu watanzania.Tuna imani utatufikisha pale ambapo hatujafika"..Regina Ndege.

Imetolewa na;
Friends Of Hon.Membe
Mara na Manyara wapi ni wapi?
 
Sijawai kuona mafisadi jasili namna hii. Hii jeuri wanaitoa wapi? No way...after 2015 pesa zote zitakuwa zimerudishwa azina kama sivyo vijana watafuata wenyewe mlikoziweka...

Membe, EL....mention any from chama cha mchapinduzi wautake urais wa nchi hii? It's out of my mind (kura yangu moja but with great pursuance)
 
Wazungu wana msemo wao kuwa,"If you cant fight them,join them".Jana msemo huu umejidhirisha hadharani baada ya Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Manyara Komredi Regina Ndege kukubali kuwa Mh.Membe ndiye kiongozi anayefaa kuongoza nchi.

Hii imetokea baada ya Mh.Membe kuzungumzia kwa ustadi mkubwa masuala yanayohusu taifa hili hususani kiuchumi,kijamii na kisiasa.Mh.Membe jana kupitia semina iliyoandaliwa na Uvccm pale Msasani Club alitoa suluhisho la tatizo la ajira nchini kwa vijana na kuwaasa viongozi wenzake kuacha kulalamika kuwa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka bila kutaja solutions za kuzuia bomu la ajira kulipuka.

Kutokana na ustadi mkubwa wa Mh.Membe katika kutoa mada,kufafanua na kujibu maswali ya washiriki wa semina ilimbidi Mwenyekiti huyu wa Uvccm mkoa wa Manyara kushindwa kujizuia kuomba nafasi ya kutoa salamu za shukrani kwa Mh.Membe kwa nasaha zake za kisomi ambazo ni mwarobaini wa yanayolisibu taifa kwasasa.

Alisema,"Mh.Membe kwa niaba ya wenzangu tunakushukuru sana.Hakika umetukosha sana,umekata kiu yetu.Wewe ni kiongozi imara,unaijua nchi.Wewe ni mkombozi wetu watanzania.Tuna imani utatufikisha pale ambapo hatujafika"..Regina Ndege.

Imetolewa na;
Friends Of Hon.Membe

Kwa sasa kiongozi yeyote anayeutaka URAIS kwa hali na mali na hata kudiriki kutafuta pesa za kumuwezesha kupata URAIS tunatakiwa tumuogope kama UKIMWI,au kama UKOMA.Kwangu Membe hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji.
 
unajua nini kilichoongelewa au unakurupuka tu kama umetelemka kwenye BODA2?

Jibu hoja,Membe alikuwa wapi wakati zinatungwa hizi sera zilizopo zilizofeli? Membe huyu huyu ndiye mtetezi mkuu wa safari za rais zisizo na tija kwa taifa.Hafai kuwa hata m/kt wa mtaa wetu tu!
 
Ni mtu mwingine pekee aliye nje ya huu mfumo wa kifisadi wa ccm atakayeweza kulikomboa taifa hili dhidi ya hizi sera za kifisadi.
 
Membe alikuwa katika system,je katika idara gani?Lets argue kwa facts.Tuache kulalamika.Mbona aliyesema ajira ni bomu la taifa linalosubiri kulipuka anaaminisha kuwa pekee anaweza kutatua matatizo ya nchi!?

Ameshiriki kutengeneza sera mbovu zote zilizoshindwa akiwa mjumbe wa baraza la mawaziri au cc ya chama chake,kashiriki katika maamuzi halali na haramu yaliyolifikisha taifa hapa lilipo! Think big men!
 
Back
Top Bottom