Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), akisema amevutiwa na katiba, sera na mwelekeo wa ADC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mazigo amejiunga rasmi na ADC leo katika hafla fupi iliyohudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho, wakiongozwa na Mwenyekiti wa ADC Taifa, Shabani Itutu, ambaye alimkabidhi kadi ya uanachama.