Uchaguzi 2020 Mwenyekiti na Mkurugenzi NEC, Wakurugenzi wa Wilaya (wasimamizi) kuzikimbia ofisi zao 2020

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
336
677
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.

"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
 
Hilo linaeleweka, halafu viongozi wanaoingia madarakani kwa kuchezea box la kura ndio wanajifanya watapambana na rushwa!
 
CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga.
tapatalk_1572558122207.jpeg
tapatalk_1572558116784.jpeg


Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".
 
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.

"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Wee nani amekuambia...
Basi tutaweka askari wetu wa jeshi watavaa kiraia wasimamie wao
 
Haya
CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. View attachment 1250561View attachment 1250562

Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".

Haya yanatokea Tanzania ipi? Mtu anakutishia kwa bastola au anakupiga panga mpaka unajeruhiwa hivi unamwachaje kwa mfano.

Nenda kalipe kisasi fyeka mpaka familia yake yote mapaka bibi yake na kaburi la ndugu yake choma moto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom