Mwenyekiti mstaafu wa ACT-Wazalendo, Yeremiah Maganja na wafuasi wake wahamia NCCR Mageuzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,947
Mwenyekiti mstaafu wa ACT-Wazalendo na kundi kubwa la wafuasi wake wameachana na chama hicho na kuhamia Nccr mageuzi kwa James Mbatia.

Hili ni pigo kubwa kwa Zitto kama ilivyokuwa kwa Mbowe na Chadema baada ya kuondokewa na Dr Mashinji.

Chanzo: Star tv habari!

Pia soma
> Aliyekuwa Mwenyekiti ACT Wazalendo abwaga manyanga - JamiiForums

> Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake - JamiiForums

DSC_7781.JPG
 
Kwa hiyo Mbatia kabakiza kiasi gani kwenye ule mradi wa ikulu wa mamilioni aliyopewa.........
Ni mwendawazimu tu anaweza kuhamia nccr kwa akili yake bila kupewa pesa kwanza
 
Hatuna maji safi,hatuna choo,wanafunzi wanakaa chini ,Hospitali dawa wanauza huku hatuna fedha,mahakama ipo ikulu,bunge lipo Ikulu,Rais yupo ikulu ,vyombo vya kutoa habari vimefungwa huko ukonga,sekta binafsi zimefungwa mikono,tuliambiwa mafisadi ndio mwisho wao kumbe ilikuwa geresha halafu unataka upinzani ufe kivipi!
 

Attachments

  • IMG_20200127_223831.jpg
    IMG_20200127_223831.jpg
    68.1 KB · Views: 1
  • 2281170_IMG-20200123-WA0000.jpg
    2281170_IMG-20200123-WA0000.jpg
    39.2 KB · Views: 1
  • IMG_20191027_130435.jpg
    IMG_20191027_130435.jpg
    58.9 KB · Views: 1
  • IMG_20190928_105217.jpg
    IMG_20190928_105217.jpg
    31.3 KB · Views: 1
Mwenyekiti mstaafu wa ACT-Wazalendo na kundi kubwa la wafuasi wake wameachana na chama hicho na kuhamia Nccr mageuzi kwa James Mbatia.

Hili ni pigo kubwa kwa Zitto kama ilivyokuwa kwa Mbowe na Chadema baada ya kuondokewa na Dr Mashinji.

Chanzo: Star tv habari!
aliehamia mbona humtaji jina?
 
Kweli mbatia kaisha kisiasa
Yaani umpe mkeo ml 3 akanunue nguo za watoto alafu yeye anaenda kununua hamsn kitu gauni mbili na suruali mbili kwa laki NNE mitumba?
Hatuko seriaz kama ni mm sitampa tena
Pole mama Tanzania
 
Back
Top Bottom