sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,318
Kutagatanga tu. Uzee huu anahangaika na nini? anadhani Mbatia atampa mfuko wa pesa? Labda amgawie zile nafasi za majimbo 20 aliyoahidiwa na jiwe. ... nako atakumbana na wagombea wengine... kama anadhani yatatokea ya serikali za mitaa, asahau kabisa.Mwenyekiti mstaafu wa ACT-Wazalendo na kundi kubwa la wafuasi wake wameachana na chama hicho na kuhamia Nccr mageuzi kwa James Mbatia.
Hili ni pigo kubwa kwa Zitto kama ilivyokuwa kwa Mbowe na Chadema baada ya kuondokewa na Dr Mashinji.
Chanzo: Star tv habari!
Pia soma
> Aliyekuwa Mwenyekiti ACT Wazalendo abwaga manyanga - JamiiForums
> Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake - JamiiForums