Mwenyekiti mpya UVCCM, Kheri James atoa maagizo mazito Dodoma

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Wanachama wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Dodoma jana tarehe 13/12/2017 walimpokea Mwenyekiti mpya wa UVCCM Ndugu, Kheri James ambapo katika mapokezi hayo Mwenyekiti huo alitumia fursa hiyo kutoa maagizo mazito kwa jumuiya, vijana na viongozi wa jumuiya waliopewa dhamana kwa sasa.

Awali Ndugu Kheri James alitoa shukrani za dhati kwa vijana wote nchini kwa kumuunga mkono na kuwa na imani naye, na kisha kumpa jukumu hilo kubwa, pia alitumia fursa hiyo kuelezea dhamira yake ya kufanya mageuzi ndani ya jumuiya hiyo ikiwa ni pamoja na kushirikiana na vijana wote nchini.

Baada ya kutoa shukrani hizo Mwenyekiti huyo mpya *Ndugu Kheri James* alitumia fursa hiyo kutoa maelekezo mazito kwa vijana wa CCM wote nchini, huku akirudia kauli yake ya kurudisha hadhi na heshima ya jumuiya (UVCCM). Kwa kuweka misingi ya Jumuiya kuwa Imara

Ndugu Kheri James pia *amepiga marufuku kwa baadhi au kila mwanachama kujipa jukumu la kuwa msemaji ama kutoa tamko kwa mambo yanayohusu UVCCM*, na badala yake awataka wasemaji wa~kikanuni katika ngazi zote kutumia wajibu wao kama ilivyoanishwa katika kanuni.

Pia, Ndugu Kheri James amewatahadharisha wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kuacha mara moja visingizio katika zoezi la kutoa asilimia tano ya mapato kwa vijana. Amesisitiza fedha hizi zikitolewa vijana watapata fursa za kujihusisha zaidi katika kilimo cha kisasa kitakachoweza kutoa malighafi za kutosha kwa ajili ya viwanda vinavyojengwa kwa kasi sana katika awamu hii ya tano chini ya Rais Magufuli..

Pia, Ndugu Kheri James amewataka vijana wote nchini kutambua majukumu waliopewa ikiwa ni kuwatumikia wananchi na kufanya kazi kwa ufanisi badala ya kuwaza teuzi..

Vile vile, Ndugu Kheri James katoa *agizo kwa Mikoa na Wilaya zote nchini kuanza mara moja zoezi la uhakiki wa mali/vitega uchumi za jumuiya. Na uhakiki huo umalizike ndani ya miezi 4 kuanzia sasa na kisha taarifa kuwasilishwa kwake*.

Katika hatua nyingine, Ndugu Kheri James amempongeza sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri, njema na iliyotukuta ya kuwatumikia watanzania hasa wanyonge. Amewaomba vijana wote nchini kumuunga mkono na kuunga juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli katika awamu hii ya tano. Kwa upande wake Kheri James ameihakikishia Chama na serikali kupata ushirikiano wake, ushirikiano wa jumuiya, na vijana wa Chama cha Mapinduzi kwa ujumla...
 
Mkuu huyu jamaa si ndo ulituambiaga amefoji vyeti ana zaidi ya Miaka 30 inayoruhusiwa kikatiba yao??
Ile issue yake iliishiaga wapi??
 
Kwa maelezo na maagizo haya unaona Uvccm ni mali ya vijana au vijana ni mali ya uvccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom