kichomi
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 507
- 54
Umetokea nchi gani ndugu?huyo mbowe ni kamanda wa nini? Jeshi mgambo au sungusungu? Na hiyo mzee ni jina lake cheo au nin?
Umetokea nchi gani ndugu?huyo mbowe ni kamanda wa nini? Jeshi mgambo au sungusungu? Na hiyo mzee ni jina lake cheo au nin?
atakua katokea Sudan Kusini.Umetokea nchi gani ndugu?
Magufuli, msimamizi mkuu uuzaji nyumba za serikali.ndani ya baraza la mawaziri waziri makini yuko mmoja tu mhe pombe magufuli yule mama alijaribu kuja juu na kuvunja kuta za watu yuko wapi au likizo mamawa mazingira, viwanja vya wazi vinaporwa na kujengwa lakini wap kimyaviwanja vya shule vinavyamiwa, wapi kimya magambo magamba iposiku inakuja na si nyingi mtakaaa kama chama cha wapinzani na mtajibu,nyumba za serikali mmejiuzia ostabey iliyokuwa inaheshiimika kila nyumba nibar na gyst bubu inauma sana lakini tunasema madikiteta wengi wanashitakiwa ipo siku itafika na kuna MUNGU asiyependa dhuluma MUNGU siyo wa mafisaditu kama mnavyotaka na kukiita chama chenu chama cha MUNGU ipo siku ipo karibu,kiikupacho raha na uchungu kitakupa
Kuna kitu kinaniambia kuwaJanuary Makamba hakusema aliyosema jana kwa sababu ya kutaka kutatua tatizo la umeme, bali huo ni mpango wake wa kutaka kung'ara na pengine kupata nafasi kwenye baraza la mawaziri. Huyu kijana alikuwa mshauri wa Rais Kikwete kwa miaka mitano, alifanya nini au alimshauri vipi Rais kutatua tatizo la umeme? Why now anaonekana kulivalia njuga swala la umeme na sio wakati akiwa Ikulu sehemu ambayo naamini ndio chimbuko la matatizo yote tuliyonayo? Na mara January alipopata uenyekiti wa kamati ya Nishati alijigeuza kuwa 'msemaji' wengine walimuita 'dalali' wa Dowans!
Kwa maoni yangu, Ngeleja anaweza na naamini ana mapungufu yake lakini January hana track-record ya kuaminika kwenye issue ya umeme hapa nchini. Sanasana naweza kusema anaonesha tabia ya 'work-colleagues' wenye tabia ya kuwavizia wenzio kwa kuanika kila kosa ili mradi tu wao wang'are na pengine kupanda cheo! Dangerously ambitious!
Jana kamati ya Nishati na Madini ilitoa hotuba yake kuhusu swala zima la Hali ya Umeme nchini!
Hadi mzee mbowe akatamani Mwana-Makamba angekuwa CDM!
Magufuli, msimamizi mkuu uuzaji nyumba za serikali.