MWENYEKITI CHADEMA TAIFA. Leo atahutubia wasomi chuo cha SAUT

Hana jipya, fisadi mkubwa


1. Fisadi kuliko Meli ya kinana kukutwa na shehena ya meno ya Tembo?

2. Fisad kuliko Chenji ya Rada kiasi kwamba chenge alikiri hadharani na ccm kwa mahaba makubwa kwa chenge hajawajibishwa hadi leo?

3. Fisaid kuliko fisadi anayewasamehe wezi wa Epa? anawasamehe kivipi wezi wa mabilioni ya shilingi wezi wa kuku wanafungwa?

4. Fisad kuliko aliyejimilkisha kiwira coal mine kwa kutumia madaraka yake?

5 .Fisad kuliko wezi na matapeli wa Richmond?

6. Fisad kuliko wanatoa misamaha hovyo ya kodi na kubinafsisha ovyo mali za umma?

7.

8.
 
Mpaka sasa makamanda wa chadema saut wanaweka mambo sawa hususan jukwaa maeneo ya s/msingi sweya

Tunatia timu mkuu mda sio mrefu acha wapiga kelele kwenye buttons/touch pad na kwenye key boards waendelee kupoteza mda.
 

wewe ni msemaji wa wasukuma.
 
wewe ni msemaji wa wasukuma.


Uwezo wako nikufikiri ndani ya ukabila? leo tunaanza kuwasuka wasukuma baada ya kuwasuka wachaga?

Acheni chuki na maono ya kikabila kwa jamii yetu, mnatufedhehesha sana kwa hoja za kuudhi na ubaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…