MWENYEKITI CHADEMA TAIFA. Leo atahutubia wasomi chuo cha SAUT

Hana jipya, fisadi mkubwa


1. Fisadi kuliko Meli ya kinana kukutwa na shehena ya meno ya Tembo?

2. Fisad kuliko Chenji ya Rada kiasi kwamba chenge alikiri hadharani na ccm kwa mahaba makubwa kwa chenge hajawajibishwa hadi leo?

3. Fisaid kuliko fisadi anayewasamehe wezi wa Epa? anawasamehe kivipi wezi wa mabilioni ya shilingi wezi wa kuku wanafungwa?

4. Fisad kuliko aliyejimilkisha kiwira coal mine kwa kutumia madaraka yake?

5 .Fisad kuliko wezi na matapeli wa Richmond?

6. Fisad kuliko wanatoa misamaha hovyo ya kodi na kubinafsisha ovyo mali za umma?

7.

8.
 
hana lolote huyo, namchukia sana kwa kitendo chake na wapuuzi wenzake kumtelekeza tata Bob makani alivyougua.Baada ya kufa ndio wakaja na ngonjera nyingi! Jana alikuwa akitaja mara kwa mara jina la makani akidhani wasukuma hatujui uhuni wao, hatudanganyiki na 2015 mtaisoma namba, manyang'au nyie

wewe ni msemaji wa wasukuma.
 
wewe ni msemaji wa wasukuma.


Uwezo wako nikufikiri ndani ya ukabila? leo tunaanza kuwasuka wasukuma baada ya kuwasuka wachaga?

Acheni chuki na maono ya kikabila kwa jamii yetu, mnatufedhehesha sana kwa hoja za kuudhi na ubaguzi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom